Huyu ndiye Mrs equationx; Joannah

Huyu ndiye Mrs equationx; Joannah

.........daah sisi madomo zege kweli tutaishia kushangaa, siku zote nimekaa najipanga kumuanzishia Uzi maalumu kabisa kwake, lakini umeshaniwahi yaani umekurupuka kutoka ndotoni na kuanzisha thread, basi bana ngoja nianze kujipendekeza kwa shunie, carleen, mideko au hata ua la kipekee........ potelea mbali kwani kitu gani bana ........
.........mkuu kama unamtaka kweli Jonah we muhonge mikeka miwili tu yenye sure odds, utakuja nishukuru sana hapa, coz huyo bibie ni mpambanaji haswaa coz nakula sahani moja na wazee wa kuweka mzigo, hii ni credit nampa kwa moyo safi kabisa.......
Nime-solve equation x
 
Nampenda sana huyu binti, Joannah; kweli ni mpambanaji na anajua kupenda; nimetoka club mida hii nikitafakari namna huyu mrembo anavyonipenda, na kweli nathibitisha ananipenda; kupitia jukwaa hili nathibitisha kumpenda zaidi na zaidi.

Nakupenda sana Joannah, tunaishi mara moja, muhimu kulinda furaha ya kila mmoja; nakuhakikishia tutazeeka pamoja.

Kupitia uzi huu, huyo ndio mrs Equation x

Wakuu, pokeeni taarifa.
​

Wakuu, pokeeni taarifa.
[/JUSTIFY]
Tumepokea....
Aione CAG kwenye jalada
 
.........daah sisi madomo zege kweli tutaishia kushangaa, siku zote nimekaa najipanga kumuanzishia Uzi maalumu kabisa kwake, lakini umeshaniwahi yaani umekurupuka kutoka ndotoni na kuanzisha thread, basi bana ngoja nianze kujipendekeza kwa shunie, carleen, mideko au hata ua la kipekee........ potelea mbali kwani kitu gani bana ........
.........mkuu kama unamtaka kweli Jonah we muhonge mikeka miwili tu yenye sure odds, utakuja nishukuru sana hapa, coz huyo bibie ni mpambanaji haswaa coz nakula sahani moja na wazee wa kuweka mzigo, hii ni credit nampa kwa moyo safi kabisa.......
Nenda na ua la kipekee mkuu
 
Back
Top Bottom