Huyu ndiye Mrs equationx; Joannah

Huyu ndiye Mrs equationx; Joannah

Nampenda sana huyu binti, Joannah; kweli ni mpambanaji na anajua kupenda; nimetoka club mida hii nikitafakari namna huyu mrembo anavyonipenda, na kweli nathibitisha ananipenda; kupitia jukwaa hili nathibitisha kumpenda zaidi na zaidi.

Nakupenda sana Joannah, tunaishi mara moja, muhimu kulinda furaha ya kila mmoja; nakuhakikishia tutazeeka pamoja.

Kupitia uzi huu, huyo ndio mrs Equation x; ingawa nina familia ila yeye bado atakuwa bega kwa bega, katika harakati zangu za hapa na pale kwa hapa duniani.

Wakuu, pokeeni taarifa.
​
Unajua huyo Joannah ni dada angu kabisa, so wewe ni shemeji yangu au ndio unataka kuwa shemeji yangu?
 
Nampenda sana huyu binti, Joannah; kweli ni mpambanaji na anajua kupenda; nimetoka club mida hii nikitafakari namna huyu mrembo anavyonipenda, na kweli nathibitisha ananipenda; kupitia jukwaa hili nathibitisha kumpenda zaidi na zaidi.

Nakupenda sana Joannah, tunaishi mara moja, muhimu kulinda furaha ya kila mmoja; nakuhakikishia tutazeeka pamoja.

Kupitia uzi huu, huyo ndio mrs Equation x; ingawa nina familia ila yeye bado atakuwa bega kwa bega, katika harakati zangu za hapa na pale kwa hapa duniani.

Wakuu, pokeeni taarifa.
​
Mkuu
Mahusiano ya mahaba ni jambo binafsi.

Hizi mbwembwe za kuanikana mitandaoni zinaonesha namna watu wssivyojiamini. Ukiweka ama kuanika.mahusiano yalo hafharani jiandae kisaikolojia kama yule DC
 
Haina shida, ndio maana ndoa tunafunga sehemj za wazi
 
Nampenda sana huyu binti, Joannah; kweli ni mpambanaji na anajua kupenda; nimetoka club mida hii nikitafakari namna huyu mrembo anavyonipenda, na kweli nathibitisha ananipenda; kupitia jukwaa hili nathibitisha kumpenda zaidi na zaidi.

Nakupenda sana Joannah, tunaishi mara moja, muhimu kulinda furaha ya kila mmoja; nakuhakikishia tutazeeka pamoja.

Kupitia uzi huu, huyo ndio mrs Equation x; ingawa nina familia ila yeye bado atakuwa bega kwa bega, katika harakati zangu za hapa na pale kwa hapa duniani.

Wakuu, pokeeni taarifa.
​
Hahahahah kwahio ameshakuwa bi mdogo 🤣🤣🤣
 
unaijua story ya smart911 na mahonda?

unajua kwanini mwamba smart911 anasema 'hayana mwongozo' ?

sina la zaidi ningependa nimkaribishe ndugu haya muongozo himself atupe hits
Kilichowaunganisha labda kili-expire
 
Nampenda sana huyu binti, Joannah; kweli ni mpambanaji na anajua kupenda; nimetoka club mida hii nikitafakari namna huyu mrembo anavyonipenda, na kweli nathibitisha ananipenda; kupitia jukwaa hili nathibitisha kumpenda zaidi na zaidi.

Nakupenda sana Joannah, tunaishi mara moja, muhimu kulinda furaha ya kila mmoja; nakuhakikishia tutazeeka pamoja.

Kupitia uzi huu, huyo ndio mrs Equation x; ingawa nina familia ila yeye bado atakuwa bega kwa bega, katika harakati zangu za hapa na pale kwa hapa duniani.

Wakuu, pokeeni taarifa.
​
Unamchelewesha mwenzako kuwa na familia yake.
 
Back
Top Bottom