Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 20,323
- 49,367
😂😂😂😂Utauza nyumba ya urithi kuwa makiniNI muda wa mimi kutafuta mshangazi univalie kimitego mitego sasa 😄
😂😂😂😂Utauza nyumba ya urithi kuwa makiniNI muda wa mimi kutafuta mshangazi univalie kimitego mitego sasa 😄
Em fanya hivyo, mishangazi inajali balaaNI muda wa mimi kutafuta mshangazi univalie kimitego mitego sasa 😄
Ninayo hata hiyo ya urithi sasa 🤣😂😂😂😂Utauza nyumba ya urithi kuwa makini
NalIfanyia kazi sio ya KukosaEm fanya hivyo, mishangazi inajali balaa
Punguza wivu kuu... ila comments ziwe fupifupi....😊Rekebisha title, huyo ni MCHEPUKO. Otherwise oa kama mke wa pili.
Walipendana sana, ila kilicho tokea ni kama ajali tu, na inaweza mtokea yeyote hata nje ya Jf.....Unaijua story ya smart911 na mahonda?
Unajua kwanini mwamba smart911 anasema 'hayana mwongozo' ?
Sina la zaidi ningependa nimkaribishe ndugu haya muongozo himself atupe hits
😀 😀 😀Mta achana tu..😑
Ila comments ziwe fupifupi ili kuokoa muda...😊
Mleta mada Ni muislam mkuu😁Rekebisha title, huyo ni MCHEPUKO. Otherwise oa kama mke wa pili.
Aaah jamani mbona unanisagia kunguni mkuu😭😭😭😭
🤣🤣🤣🤣🤣Ni wivu tu....hawara Hali tembele au sio?Kasahau hawala hana Shukrani.
Tatizo ni kumpata mtunza michango; wanaweza wakazipiga na tukio lisifanikiwe🤣🤣🤣🤣unaona Sasa ulishaambiwa kuchanganya grants na safari matokeo yake ndio haya!Haya tangaza tarehe ya harusi mbele ya wanakamati hapa tuanze vikao mapema
Nitampata hata miss financial services aseeKabisa mkuu we jichukulie Wooten Ila usithubutu cocastic utakuja kunishukuru baadae