Huyu Ndiye Mohamed O. Mchengerwa

Huyu Ndiye Mohamed O. Mchengerwa

Mengi yameongelewa, Mohammed alisoma A level Malangali Secondary ipo Iringa Mufindi ni shule ya serikali, na baada ya hapo aliajiriwa na Mahakama kama Clerk lakini ndio alikuwa ameshamaliza kozi za unaa zile.

Baada ya hapo akaanza chuo Makerere University Uganda akisomea shahada ya kwanza ya Sheria.

Aliporudi alikuwa anakaa sinza pale maeneo ya Fine Traveller, ndipo alipofanikiwa kufanya interview na kuitwa kazini kama Resident Magistrate alipangiwa kazi Mkoani Mbeya ambapo alihudumu nadhani mpaka miaka ya 2009 au 2010 akahamishiwa Dar Kisutu.

Baada ya hapo Mahakama ilianzisha utaratibu wa majaji kuwa na Makatibu wao (PA) ndipo yeye akateuliwa kuwa personal assistant (PA) wa Jaji Mkuu (CJ).

Mwaka 2015 akaingia kwenye ulingo wa siasa ndipo akapata ubunge Jimbo la Rufiji.

Kimsingi Rufiji ni kubwa sana na ilisahaulika, hauwezi kutegemea yeye kama mbunge aliyekaa muda mfupi hivi atafanya kila kitu kwa pesa yake ya mfukoni Ila kwa machache amejitahidi na amekuwa anapiga kelele sana kutetea Jimbo lake.

Hata hii ya kutumikia kwa uadilifu mpaka aliteuliwa kuwa Mwenyekiti wa kamati ya Sheria na Katiba ni moja ya nyanja ambazo mbunge hutumia ili kupata access ya kuonana na wakubwa ili kuomba maendeleo yawahi jimboni kwako (lobbying).

So yeye kupata uwaziri haimaanishi atatoa hela mfukoni Ila anapaswa kuendelea kuhakikisha ahadi zake zitatimilika kwa kuzipigania zaidi.

Kuhusu mengine ya kuoa mtoto wa Rais ni kweli kaoa binti wa Rais Samia Suluhu Hassan, ni binti ambaye ni mbunge wa viti maalum akiwakilisha vijana huko Zanzibar.

Hata hivyo huyu bwana sio kwamba amemuoa huyo binti Jana au leo, hii isiwafanye watu wachukulie tofauti sana, hawa walipendana tu, tena binti ni mke nadhani wa tatu kama so wa pili.

Katika vijana ambao wapo CCM na wametulia ambao huwezi kusikia wakijibizana kwenye mitandao au kwenye media ni huyu bwana, yeye mambo yake ni ya chini na ni mtu wa kawaida sana very humble.

Kwa ambao tumeishi nae na kufanya nae kazi kwakweli ukiacha haya maneno mengine, huyu bwana ana uwezo mkubwa tu wa kuongoza kwa busara. Uzuri wake amepata Makatibu wakuu wazuri watamsaidia akiwemo Naibu wake.

Kila la kheri Mheshimiwa Waziri wa Nchi ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma.
 
Big thanks 🙏🙏🙏 ikuendee kwa Nondo hizo.
Hapo umejibu maswali mengi sana kama vile
1- Walio uliza kuhusu hali ya ndoa wamejibiwa.
2- walio hisi mimi ndio huyo bwana wamejibiwa, n.k
Kwahiyo shukurani kwa mchango wako mkuu
 
Shukrani pia, pia kuna wengine wamekuwa wakiuliza ni mzaliwa wa wapi, huyu bwana amezaliwa Dar Ila kwao ni Rufiji na amejenga huko pia kumbuka hao wabunge wengine hawakuweka makazi yao huko jimboni.

Elimu yake sio ya kuunga hata kidogo, ukisoma CV yake inajieleza hata hiyo PHD anasoma sio ya magumashi tena anaendaga kutetea sana kila muda. Bahati mbaya vyuo vimekuwa vingi so watu wamezoea tu kusikia labda Havard , au University labda ya Cape Town etc. Cha muhimu igoogle tu utapata.

Hayo ya siasa za jimboni kiukweli siyajui sababu mie sio mwana Rufiji na sio mwanasiasa kabisa.

Kama ana mapungufu nadhani hiyo ni kesi ya mtu na mtu binadamu sisi Ila sifa ya mtu mzigo hata kama mimi nawe tunaweza Ila mwenzetu ndio keshapata tumuombee kheri atutatulie matatizo yetu wananchi haswa yale ya wizara yake maana ni balaa pale.
 
🙏🙏🙏
 
Huu ndio upumbavu wa kujiandikia wasifu wewe mwenyewe
Yani unakaa kabisa unajiaminisha Waziri mzima wa Nchi ofisi ya Rais Menejimenti ya utumishi na Utawala Bora akae na apate muda wa kuandika humu JF kweli kwa hizi siku mbili walivyowekwa busy mzee????? Ni sisi wenye mudanwa haya wao saa hii ofisi za Moto sana .
 
Kaona mbona watu hawanijui ngoja nijiuze hongera sana Mh Mchengerwa....hakika ni hazina ya baadae jifunze siasa za staha utafika mbali
 
Mengi yameongelewa, Mohammed alisoma A level Malangali Secondary ipo Iringa Mufindi ni shule ya serikali, na baada ya hapo aliajiriwa na Mahakama kama Clerk lakini ndio alikuwa ameshamaliza kozi za unaa zile.

Baada ya hapo akaanza chuo Makerere University Uganda akisomea shahada ya kwanza ya Sheria.

Aliporudi alikuwa anakaa sinza pale maeneo ya Fine Traveller, ndipo alipofanikiwa kufanya interview na kuitwa kazini kama Resident Magistrate alipangiwa kazi Mkoani Mbeya ambapo alihudumu nadhani mpaka miaka ya 2009 au 2010 akahamishiwa Dar Kisutu.

Baada ya hapo Mahakama ilianzisha utaratibu wa majaji kuwa na Makatibu wao (PA) ndipo yeye akateuliwa kuwa personal assistant (PA) wa Jaji Mkuu (CJ).

Mwaka 2015 akaingia kwenye ulingo wa siasa ndipo akapata ubunge Jimbo la Rufiji.

Kimsingi Rufiji ni kubwa sana na ilisahaulika, hauwezi kutegemea yeye kama mbunge aliyekaa muda mfupi hivi atafanya kila kitu kwa pesa yake ya mfukoni Ila kwa machache amejitahidi na amekuwa anapiga kelele sana kutetea Jimbo lake.

Hata hii ya kutumikia kwa uadilifu mpaka aliteuliwa kuwa Mwenyekiti wa kamati ya Sheria na Katiba ni moja ya nyanja ambazo mbunge hutumia ili kupata access ya kuonana na wakubwa ili kuomba maendeleo yawahi jimboni kwako (lobbying).

So yeye kupata uwaziri haimaanishi atatoa hela mfukoni Ila anapaswa kuendelea kuhakikisha ahadi zake zitatimilika kwa kuzipigania zaidi.

Kuhusu mengine ya kuoa mtoto wa Rais ni kweli kaoa binti wa Rais Samia Suluhu Hassan, ni binti ambaye ni mbunge wa viti maalum akiwakilisha vijana huko Zanzibar.

Hata hivyo huyu bwana sio kwamba amemuoa huyo binti Jana au leo, hii isiwafanye watu wachukulie tofauti sana, hawa walipendana tu, tena binti ni mke nadhani wa tatu kama so wa pili.

Katika vijana ambao wapo CCM na wametulia ambao huwezi kusikia wakijibizana kwenye mitandao au kwenye media ni huyu bwana, yeye mambo yake ni ya chini na ni mtu wa kawaida sana very humble.

Kwa ambao tumeishi nae na kufanya nae kazi kwakweli ukiacha haya maneno mengine, huyu bwana ana uwezo mkubwa tu wa kuongoza kwa busara. Uzuri wake amepata Makatibu wakuu wazuri watamsaidia akiwemo Naibu wake.

Kila la kheri Mheshimiwa Waziri wa Nchi ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma.
Malangali alisoma mwaka gani mkuu? Ikiwezekana na mwaka aliosoma na kumaliza Makerere pia uweke
 
Back
Top Bottom