Huyu Ndiye Mohamed O. Mchengerwa

Huyu Ndiye Mohamed O. Mchengerwa

Bora ujisifie mwenyewe mapema mkuu,,, maana ukingoja sifa za watu huwa hawana jema...

Wakati ukuta..
Ishi ulaumiwe,, kufa usifiwe
Ila si mimi huyo najaribu kuleta mada tu hii
 
mimi nawajuza si kwamba nampromote
Umebahatika kutembelea jimboni kwake hata sehem moja k.v ikwiriri, utete, ngarambe, muhoro, mkongo, mwaseni, mbunju.nk?? Au umesimuliwa?? Hayo uliyoandika kaka, ukweli wake ni mdogo sana.

Unakumbuka kipind magu amepita ikwiriri, unakumbuka kuwa hakukuwa na magari ya mkuu wa wilaya, mkurugeniz, unajua hata ambulance haikuwa inafanya kazi??

Kaka bora ungemuelezea yeye km yeye sio maendeleo aliyoleta jimboni. Ni kawaida sana
 
Umebahatika kutembelea jimboni kwake hata sehem moja k.v ikwiriri, utete, ngarambe, muhoro, mkongo, mwaseni, mbunju.nk?? Au umesimuliwa?? Hayo uliyoandika kaka, ukweli wake ni mdogo sana...
Maendeleo hayana chama
 
Fujo zake tuna zielewa... Hawa ndio walipata fursa baada ya urafiki wao na watu msoga... Hakuna alilolufanya kushadihisha maendeleo ya wana rufiji... Kipo, muhoro, siasa, kingupira, mkongo, ngorongo, nyambunju, mbwala shida tupu... Rufiji afadhari unaipata utete na ikwiriri sio zaidi ya hapo...
Fact ndugu tunataka rami nyamwage utete na kibiti mloka akishindwa kujenga ajiandae 2025
 
Hongera naona unasifia rafiki yako. Watanzania wachapakazi na waadilifu wapo wengi sema mfumo ndo hauruhusu kupewa nyadhifa.
 
Hongera naona unasifia rafiki yako. Watanzania wachapakazi na waadilifu wapo wengi sema mfumo ndo hauruhusu kupewa nyadhifa.
Kubwa ni hilo ndugu tunataka rami njia ya nyamwage utete kibiti mloka akishindwa ajiandae kwa upinzan mkuu tumesubiri sana tena kwa mda mrefu sana alaf tumetoa mawazir wengi sana but wameshindwa kumaliza changamoto ya miundombinu
 
Hongera naona unasifia rafiki yako. Watanzania wachapakazi na waadilifu wapo wengi sema mfumo ndo hauruhusu kupewa nyadhifa.
Si rafiki yangu, sema ni mwendelezo wa kuwaletea nyuzi hizo
 
Mpigie kampeni ila mkumbushe changamoto zetu izo azifanyie kazi pia nadhan yeye mwenyewe anazijua hizo kero zetu please tunahitaji vitendo zaidi sio propaganda
imepita hiyo
 
Mzee huku rufiji sisi hatuhitaj asili yake maana kuna utata kuhusu hilo jambo but tunaomba kupitia nafasi yake amalize kero zetu sugu maana rufiji ni wilaya kongwe ambayo haina maendeleo
Sawa mkuu
 
Back
Top Bottom