Huyu Ndiye Mchumba wa Ommy Dimpozi?

ommy dimpoz ameshare picha kwenye instagram akiwa na mrembo ambaye hata hivyo hajafafanua kama ni mpenzi wake ama rafiki tu.

attachment.php

acheni kuropoka ka vile matahira je una uhakika upi nimchumba au fan. Wabongo bana!!!!!!
 
Basi tu yani sijawahi kumkubali hata sekunde
afu namchukia tu bila sababu...

Binadam bwana,eti unamchukia mtu bila sababu.Kumbe nyie ndo mwaitwaga mahater ee?Hater ukimuuliza kwanini unamchukia fulani anakujibu "Basi tu"
 
Binadam bwana,eti unamchukia mtu bila sababu.Kumbe nyie ndo mwaitwaga mahater ee?Hater ukimuuliza kwanini unamchukia fulani anakujibu "Basi tu"
Hil vaz lake la juu na pozi kwa kweli sijaelewa au ndo poz kwa poz
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom