Mkare_wenu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2011
- 1,714
- 442
Ukimuonyeshaonyesha demu wako unaitwa limbukeni,ukifanya kwa siri unaitwa anithi
Ukimuonyeshaonyesha demu wako unaitwa limbukeni,ukifanya kwa siri unaitwa anithi
Inawezekana nae ni sukari ya warembo kama rafiki yake.Huyu kila mtu demu wake, mara vannesa sijui mara lissa jensen hat haelewek au na yeye ndo sukar ya warembo kama ndomo
Mbona wote wamebinua midomo?[/QUOTE
Hahahaha ni pozi.
Hahaha hata wasio na tatizo na mtu wana jadiliwa.I like Ommy Dimpoz,hana matatizo na mtu....ni very unfair kumchimbachimba....Binamu stop it bhana.......
AiseeeeeMadem wa kupiga nao picha tu, hawawadhuru....
Aiseee life is full of complications.Ukimuonyeshaonyesha demu wako unaitwa limbukeni,ukifanya kwa siri unaitwa anithi
Mbona wote wamebinua midomo?
Mbona wote wamebinua midomo?
Yani nna allergy na huyu mtu hata kumuona huwa sipendi....
Ni ishara ya kuonyesha kwamba wao ni watalaam wa kunyonya koni.
Huyu kila mtu demu wake, mara vannesa sijui mara lissa jensen hat haelewek au na yeye ndo sukar ya warembo kama ndomo