Huyu ndiye John Mashaka...

Mmh kijiwe cha majungu....Kama ni ndiye au siye inatuhusu nini hapa NN?
Dah babu ushakuja na mambo yako ya Mipasho.Kwani lazima uchangie thread hii mazee.Kama vp waona yakuzingua sepa tu kwenye mathread mengine aisee
 
Huyo katikati, kwa mujibu wa Michuzi, ndiye John Mashaka..

mwanamboka%2B928.JPG
Sasa hivi inaoneka vizuri aisee...JM=Andunje?????????
 
Ila mashori wanamzimia kichizi kudadadeki......

Ila kuna dizaini flani ya mshori ndio wanaomzimia. Ni wale mashori ambao hawajapandisha shule....huyu jamaa hawezi kumpiga fix shori aliyeenda shule na simulizi zake za Wall Street ya Charlotte, NC....
 
YoYo,NN,MwanaFalsafa1,na Blantanda wekeni picha zenu hapa na nyie tu wajadili kidogo,maana naona nyie ni mahodari sana wakuwachambua watu.
 
% kubwa ya mashori wa bongo hamnazo kichwani yaani ni mbumbumbu mawazo yao yapo kwenye Reds na mawigi wanayoyavaa......
 
YoYo,NN,MwanaFalsafa1,na Blantanda wekeni picha zenu hapa na nyie tu wajadili kidogo,maana naona nyie ni mahodari sana wakuwachambua watu.

Arooo siku na mimi ukiiona picha yangu imebandikwa kwa Michuzi rukhsa kunijadili....

Halafu wewe mbona umekuwa sensitive kihivyo? Upo kwenye hiyo picha nini?
 
tatizo lako na wewe ni upeo mdogo.......arrrrrg Yo yo ni tofauti na wall street guru j mashaka...Yo Yo ni pen name......
 
YoYo,NN,MwanaFalsafa1,na Blantanda wekeni picha zenu hapa na nyie tu wajadili kidogo,maana naona nyie ni mahodari sana wakuwachambua watu.

Kosa ni kuweka picha yake? Si sawa na tunavyo ona picha za watu wengine tu. If there is something to discuss about me sawa. Au kuweka picha yake ndiyo kumchambua? Sorry if I touched a nerve.
 
A Halafu wewe mbona umekuwa sensitive kihivyo? Upo kwenye hiyo picha nini?
labda ndio huyo mwenye skafu ya baridi....wtf wabongo bana.....sasa ona lijitu kama hilo lingine skafu na hili joto....copy from majuu hii....
 
Arooo siku na mimi ukiiona picha yangu imebandikwa kwa Michuzi rukhsa kunijadili....

Halafu wewe mbona umekuwa sensitive kihivyo? Upo kwenye hiyo picha nini?
Hakuna haja ya kusubiria Michu abandike pic yako,weka sasa hivi tujadili,kama wewe ni mrefu au ni mfupi...
 
Arooo siku na mimi ukiiona picha yangu imebandikwa kwa Michuzi rukhsa kunijadili....

Halafu wewe mbona umekuwa sensitive kihivyo? Upo kwenye hiyo picha nini?
Teh teh...Labda ndo huyo mwenye kofia na mtandio shingoni na viatu vya ngozi ya chatu...
 
Back
Top Bottom