Huyu ndiye Freeman Mbowe wa CHADEMA

Jaribu kujibu hoja basi!
Naona style ya matusi na kejeli ndio unaipenda zaidi.

Kuna haja sasa kama sio ulazima wa JF kufanya sensa ya kufahamu umri, weredi na fikra za MEMBERS wake, huwezi mtu mzima na akili timamu katika ulimwengu wa leo kustahajabishwa na kumsifia mtu kwamba anajua kuongea, heti ana madini?

Hii nchi tumeshasikia kila tunachotaka kusikia, kilichobaki ni kuona na kushika ambayo hiyo kazi tumewaachia na tutaendelea kuwaachia CCM waifanikishe kama Ilani ya chama inavyotafsiri, wewe kama unatamani kuendelea kusikiliza hao waropokaji kawafate bilicanas ukawasikilizie live huko sio kwenye Youtube videos.
 
Kuna haja sasa kama sio ulazima wa JF kufanya sensa ya kufahamu umri, weredi na fikra za MEMBERS wake, huwezi mtu mzima na akili timamu katika ulimwengu wa leo kustahajabishwa na kumsifia mtu kwamba anajua kuongea, heti ana madini?

Hii nchi tumeshasikia kila tunachotaka kusikia, kilichobaki ni kuona na kushika ambayo hiyo kazi tumewaachia na tutaendelea kuwaachia CCM waifanikishe kama Ilani ya chama inavyotafsiri, wewe kama unatamani kuendelea kusikiliza hao waropokaji kawafate bilicanas ukawasikilizie live huko sio kwenye Youtube videos.
Mkuu utaumia saana utakufa nacho kijiba cha roho hao ndio watawala wa baadae CCM inakufa kama huna habari!!!

 
Aliwahadaa watanzania kuhusu shangingi alikataa kukuu akapew ghali kuliko la PM akalichukua kimyakimya. Mwigulu akamlipua bungen hakuweza kutia neno. unafiki haufai kwa viongozie

Haraka ya nini sasa?....si uandike taratibu ueleweke?


Kazi kweli kweli kuwa kibaraka wa Nape!
 
Wakuu.

Mtakumbuka kuwa nilisha wahi kuandika hapa jukwaani kuwa kwa sasa hivi hapa Tanzania hakuna mwenyekiti wa chama chochote cha siasa mwenye influence na anae tema madini mdomoni akiongea kumzidi kamanda Freeman Mbowe.

Ukiweka ushabiki pembeni na kusimamia ukweli, Mbowe amekuwa mwenyekiti mwenye mvuto wa kipekee kwenye medani za siasa za Tanzania kwa sasa kuliko mwenyekiti wa chama chochote cha siasa.

Japo najua watanzania wana kiu na njaa ya mabadiliko ambayo naamini wamekata tamaa kuyapata ndani ya ccm naamini uwezo na influence ya Mbowe pamoja na viongozi wengine wa chadema imechangia sana kuiweka chadema kwenye ramani iliyopo sasa.

Asiye amini kuwa Mbowe anatema madini mdomoni atafute hotuba zake au asikilize kwa makini hii hapa chini



ahsante kamanda ujumbe umefika.
 
Last edited by a moderator:
kwa anaejiita safari ni safari:unamwita mwenzio mpuuzi wakati ww ndo mpumbavu no1 ndani ya JF.Unaleta mfano wa mbowe na Rais wa madagascar bila ya kuangalia key points katika utetezi wako...look here u cn see ur weekness.1.RAIS WA MADAGASCAR was a DJ in over the course of his teens and his early twenties,.umetajwa umri wa utoto na mwanzoni mwa ujana(school age)mambo mengi vjana hufanya km starehe,michezo,makuzi etc...Twambie kuhusu mbowe alikua DJ kuanzia umri gani na ameacha akiwa na umri gani.2.RAIS WA MADAGASCAR ALIKUA MAYOR WA ANTANANARIVO,i thnk u cn get somethn from there.3,.Before joining politics this man has launched several successful enterprises.Do u really understand the meaning of launching several successfull enterprises?hw cn u compare such a person to a pupet selfish idiot like FREEMAN MBOWE who joined politics ili waje kujinufaisha na kuwaridhisha mabwana zao?4.U should neva compare tzania and madagascar.5.Tupe cv ya MBOWE
 
Mbowe sauti ya Zege, mzee wa anga katulia mpaka basi... He deserve 100%
 
kuna mwenyekiti wa kijijini kwetu mbeya vijijini, naye anatema madini vibaya mno!
sema hajapewa airtime tu!
 
Mbowe is such a charismatic leader of our days. He controls immotions as and when he speaks. Hatumii matusi wakati anaongea ingawa watu wamekuwa wanataka kumlazimisha aingie kwenye mkumbo huo lakini amekuwa bold enough. CCM imewatumia kina Wassira na Sita kumbrand lakini yeye amekuwa makini sana maana anajua wanachotaka na anajua when you become a public figure you are put at public scrutiny of which abuses, insults and praises are your bread and butter and your wisdom will be revealed when you are patient. Kamanda Mbowe katika hili kubali msikubali ameoneysha ukomavu wa kisiasa na uvumilivu unaotakikana. Anachokiongea kimejaa uzalendo na uchungu wa ukombozi wa nchi hii. Mungu mbariki Mbowe na Makamanda wote wa CDM. AMINA
 
Nimependa sana Ufasaha na umahiri wa Lugha ya Kiswahili ya Bw. Mbowe! Hotuba nzuri!
 
kwa anaejiita safari ni safari:unamwita mwenzio mpuuzi wakati ww ndo mpumbavu no1 ndani ya JF.Unaleta mfano wa mbowe na Rais wa madagascar bila ya kuangalia key points katika utetezi wako...look here u cn see ur weekness.1.RAIS WA MADAGASCAR was a DJ in over the course of his teens and his early twenties,.umetajwa umri wa utoto na mwanzoni mwa ujana(school age)mambo mengi vjana hufanya km starehe,michezo,makuzi etc...Twambie kuhusu mbowe alikua DJ kuanzia umri gani na ameacha akiwa na umri gani.
Seriously I don't get your point. One minute you say it's okay to be involved in music the next minute you're attacking Mbowe for doing exactly that.

Why should age matter? Bill Clinton is a Saxophonist

Tony Blair is a guitarist!

And the insinuation that Mbowe wants to steal where does it come from?

CCM must go. Nothing can make us think otherwise
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom