Huyu ndiye Freeman Mbowe wa CHADEMA

Huyu ndiye Freeman Mbowe wa CHADEMA

Joined
Dec 11, 2010
Posts
3,321
Reaction score
6,331
Wakuu.

Mtakumbuka kuwa nilisha wahi kuandika hapa jukwaani kuwa kwa sasa hivi hapa Tanzania hakuna mwenyekiti wa chama chochote cha siasa mwenye influence na anae tema madini mdomoni akiongea kumzidi kamanda Freeman Mbowe.

Ukiweka ushabiki pembeni na kusimamia ukweli, Mbowe amekuwa mwenyekiti mwenye mvuto wa kipekee kwenye medani za siasa za Tanzania kwa sasa kuliko mwenyekiti wa chama chochote cha siasa.

Japo najua watanzania wana kiu na njaa ya mabadiliko ambayo naamini wamekata tamaa kuyapata ndani ya ccm naamini uwezo na influence ya Mbowe pamoja na viongozi wengine wa chadema imechangia sana kuiweka chadema kwenye ramani iliyopo sasa.

Asiye amini kuwa Mbowe anatema madini mdomoni atafute hotuba zake au asikilize kwa makini hii hapa chini

Last edited by a moderator:
Hakuna hotuba hebu iweke tena tuyaone hayo madini (kama yapo lakini)
 
Kamanda wa Anga! Namkubali sana hasa anaposema "tunazungumzia mustakabal wa taifa letu!"
 
manem na utendaji ni vitu viwili tofauti kuongoza nchi sio kuongoza disko
 
Jamaa ana matanzanite kibao madhahabu ya kumwaga na maalmasi ya kutosha
 
Mbowe is next level, pale jangwani alimwambia shibuda yeye Mbowe yupo ktk siasa za upinzani zaidi ya miaka 20 sasa, ambayo sasa matunda yake yameanza kuonekana watanzania kuiamini chadema, so akiwa kama M/Kiti hatoruhusu kirusi ama mamluki yeyote haivuruge chadema, mwacheni shibuda achezee moto"
Baada ya mkutano wa jangwan sijaona tena shibuda akiropoka ropoka
 
kiukweli ni kamanda wa ukweli, na anwanyima sana usingizi wanamagamba.
keep going kamanda
 
na kuongea sio kutawala na ndio maana leo hatuwezi kumweka mrisho mpoto kuwa rais wetu
 
manem na utendaji ni vitu viwili tofauti kuongoza nchi sio kuongoza disko

Wewe mpuuzi kabisa....kwani kakwambia lini anataka kuongoza nchi? HATA KAMA KUNA UBAYA GANI? Hebu elimika

Andry Nirina Rajoelina (born May 30, 1974), is the President of the High Transitional Authority of Madagascar. He became president on March 21, 2009, during the 2009 Malagasy political crisis, after holding the office of Mayor of Antananarivo for one year prior. Before entering the political arena, Rajoelina launched several successful enterprises, most notably including a printing and advertising company called Injet in 1999 and the Viva radio and television networks in 2007. Over the course of his teens and early twenties, he gained popular recognition in Antananarivo as a DJ at local clubs and parties, and later for organizing and promoting musical events in the capital.
 
Aliwahadaa watanzania kuhusu shangingi alikataa kukuu akapew ghali kuliko la PM akalichukua kimyakimya. Mwigulu akamlipua bungen hakuweza kutia neno. unafiki haufai kwa viongozie
 
Wakuu.

Mtakumbuka kuwa nilisha wahi kuandika hapa jukwaani kuwa kwa sasa hivi hapa Tanzania hakuna mwenyekiti wa chama chochote cha siasa mwenye influence na anae tema madini mdomoni akiongea kumzidi kamanda Freeman Mbowe.

Ukiweka ushabiki pembeni na kusimamia ukweli, Mbowe amekuwa mwenyekiti mwenye mvuto wa kipekee kwenye medani za siasa za Tanzania kwa sasa kuliko mwenyekiti wa chama chochote cha siasa.

Japo najua watanzania wana kiu na njaa ya mabadiliko ambayo naamini wamekata tamaa kuyapata ndani ya ccm naamini uwezo na influence ya Mbowe pamoja na viongozi wengine wa chadema imechangia sana kuiweka chadema kwenye ramani iliyopo sasa.

Asiye amini kuwa Mbowe anatema madini mdomoni atafute hotuba zake au asikilize kwa makini hii hapa chini

Kuna haja sasa kama sio ulazima wa JF kufanya sensa ya kufahamu umri, weredi na fikra za MEMBERS wake, huwezi mtu mzima na akili timamu katika ulimwengu wa leo kustahajabishwa na kumsifia mtu kwamba anajua kuongea, heti ana madini?

Hii nchi tumeshasikia kila tunachotaka kusikia, kilichobaki ni kuona na kushika ambayo hiyo kazi tumewaachia na tutaendelea kuwaachia CCM waifanikishe kama Ilani ya chama inavyotafsiri, wewe kama unatamani kuendelea kusikiliza hao waropokaji kawafate bilicanas ukawasikilizie live huko sio kwenye Youtube videos.
 
Last edited by a moderator:
Hawezi akamzidi mwenyekiti wa chama chetu pendwa.
Wasiosoma ni chakula cha wasomi.
 
MBOWE is Among of ma Heros,,aisee ukicheki 2000,2005 Usingedhani chama Kingefika Hapa..HEKO!
 
Mbowe na lowasa mechi ikipigwa ktk ulingo wa siasa nani atalamba sakafu?
 
Naona umewamisi sana viwavi wa Zitto Kabwe sasa unawachokoza waje hapa kwa hasira zote, ila nadhani saa wako bize kupika majungu dhidi ya Heche huko Morogoro.
 
Kuna haja sasa kama sio ulazima wa JF kufanya sensa ya kufahamu umri, weredi na fikra za MEMBERS wake, huwezi mtu mzima na akili timamu katika ulimwengu wa leo kustahajabishwa na kumsifia mtu kwamba anajua kuongea, heti ana madini?

Hii nchi tumeshasikia kila tunachotaka kusikia, kilichobaki ni kuona na kushika ambayo hiyo kazi tumewaachia na tutaendelea kuwaachia CCM waifanikishe kama Ilani ya chama inavyotafsiri, wewe kama unatamani kuendelea kusikiliza hao waropokaji kawafate bilicanas ukawasikilizie live huko sio kwenye Youtube videos.

Napendekeza ianzie kwako.. Maana kama unajiona una haki ya kumkosoa mwingine kwa kauli hiyo ulioitumia na mie nimeamua kuitumia haki hiyo hiyo kupendekeza uwe wa mwanzo kufanyiwa sensa ya kufahamu umri.. weredi na fikra.. Kila mmoja ana haki kama ulionayo wewe.. kama hukubaliani its ur problem dude..!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom