Huyu ndio nani hapo bongo jamani?

Huyu ndio nani hapo bongo jamani?

Sio anafanana ndio huyo haswaaa..
yani ile redio haishiii vibweka mara watangazaji mashoga/machoko ,waathirika
ona sasa naye huyu sijui tumwitaje?
kweli matendo ya mtu huonyesha akili yake jinsi ilivyo.
na siku zote aliwazalo mjinga ndio alitendalo.
hivi anamtoto kweli huyu

sijafurahia hilo neno katika red, kwani ni unyanyapaa huo
 
1.png

aliipost yeye mwenyewe instagram....siyo hiyo tu,huwa anapost hata pic zinazo mshow anavuta ndumu.nk. nigga be like "this is my life,leave me alone"
 
kwa wale wa mambo yetu hio inaitwa "facial" kwa wanawake tu lakini, hili dume sijui vipi
 
Kama kweli kapost mwenyewe picha kama hizi atakua ana matatizo kwenya ubongo.Na kwa akili kama hizo hataona haya kumvulia mwanaume mwenzake suruali.
 
Huyo si ndiyo yule Adam Mchovu mtangazaji wa kile kiredio cha kina kibonde fm?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom