Huyu ndio mpenzi mpya wa Penny

Anajiita Rumishael Mamkuu Shoo lakini jina lake halisi ni Rashid Jabu, ni Mzanzibar.
Jamaa alianza kwa kudalalia used smartphone baadae akakutana na jimama moja liko Ikulu pale akaingizwa kwenye mchongo wa sembe.
Kwa taarifa tu, Huyu kijana ana utajiri mkubwa usiofanana na umri wake. Na hata sembe alilodakwa nalo Masogange na Melissa Edward ulikuwa ilikuwa yake na kijana mmoja anaitwa Nassoro Mangunga.
Melissa ni demu wa Rummy na Masogange ni demu wa Nassoro ambaye wengi humtambua kama short kutokana na ufupi wake.
Ova

Ni kweli unamjua sana
 
ujanja wao instagram na majina feki ila uso kwa uso hawaniambii kitu!....huyo boss wao hii namba anaijua!..hao watabaki kuita watu mashemeji wanaomkaza boss wao!kijitu kama petit man au lile kubwa jinga kama bwabwa tin dad au shoga kadinda wataniambia nini!!....mimi mang'aa nayewaektia utozi

Hahahahahahaha mkuu umenifurahisha sana aiseeee,wale jamaa hivi hasa Tinny Dad wana matatizo ya akili au nini??mfano Tinny dad me namshangaaa kweli basi tu....

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom