Huyu ndio mpenzi mpya wa Penny

warumi

JF-Expert Member
May 6, 2013
15,293
2,000
Baada ya kuachana na Diamond Platnumz, Peniel Mwingila aka Vj Penny ameendelea mbele na maisha yake, lakini amekanusha kuwa na mpenzi mpya kama ambavyo wengi wamekuwa wakidhani hasa wanapomuona yuko karibu na mwanaume mwingine.

Leo Penny ameamua kuvunja ukimya wake na kukanusha habari zilizoenezwa katika mitandao ya kijamii kuwa ana mpenzi mpya aitwaye Rummy, hiki ndicho alichokiandika: "Ah come on people!!?? Kweli mi ni mkimya ila sasa mnavuka mipaka, seriously?? Am so disappointed to see posts that Rummy is my new boyfriend..mnatoa wapi hizi rumours?

Just because sijibu shutuma natupiwaga haimanishi mimi sio binadamu kila siku mnanizushia mapya its not funny maisha yangu kutwa mnayafanya
uwanja wa kutunga kitu, yes mnatukana na hakuna tusi jipya nawaacha ili mjifurahishe but now u r crossing the line, I have alot of respect for Rummy he is my homeboy na marafiki pia wa kiume nisiwe nao? Wengi wanajua rummy ni nani yangu ila making these stories aint cool at all.

Enough has a limit! Nitukaneni all u want ila msinisingizie vitu sijafanya its just not fair at all. Kama new boyfriend ntaweka mwenyewe
mapenzi hayajifichi ila tusizushiane uongo, nayavumilia mengi ila hili too much." 

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
48,731
2,000
Dah mi alinifuraishat tu eti jamaa yeye kila mtu anamtongoza hata mbuzi ye anatongoza, dah teamukwel ana maneno ya ajabu sana yule

"Anatongoza kila mtu akikutongoza usijione beyonce, jamaa anayongoza hadi mbuzi kwako atashindwa nini"
ha ha ha ha nilicheka kwakweli...
 
Muuza Sura

JF-Expert Member
Aug 1, 2011
1,988
1,250
Naona kajitahid kukana kwa nguvu zote, huyu dada hanaga mda wa kujibizana ovyo na watu mitandaoni,naona hii imemkera sana kashindwa vumilia

huyo ndo demu pekee wa mjini ambaye mabwana zake wanaojulikana kimjinimjini hana mbabu mzee!wote ni wa age yake na si wengi!aliweza kudumu na kavila ambaye ni mdogo kiumri na walidumu sana kabla hajadondokea kwa diamond ikiwa ni kisasi cha kavila kutoka na wema sepetu.....anakazwa kibingwa si kama vicheche wengine
 
Safety last

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
4,230

hahaha eti anakazwa kibingwa kukazwa ni kukazwa tu
 
Muuza Sura

JF-Expert Member
Aug 1, 2011
1,988
1,250
hahaha eti anakazwa kibingwa kukazwa ni kukazwa tu

kukazwa kukazwa mwana nakubali ila hapo nimemfananisha na wema!wema anaachia sana halafu ile waziwazi!......unaamini anavyokazwa wema na demu wako anakazwa hivyohivyo?demu wako lazima akazwe kibingwa kukulindia heshima
 
Dinazarde

JF-Expert Member
Jan 1, 2014
37,015
2,000
kukazwa kukazwa mwana nakubali ila hapo nimemfananisha na wema!wema anaachia sana halafu ile waziwazi!......unaamini anavyokazwa wema na demu wako anakazwa hivyohivyo?demu wako lazima akazwe kibingwa kukulindia heshima

Ila wema anaachia waziii kwa hiyo ni jamvi la wageniu etii
 
warumi

JF-Expert Member
May 6, 2013
15,293
2,000
kukazwa kukazwa mwana nakubali ila hapo nimemfananisha na wema!wema anaachia sana halafu ile waziwazi!......unaamini anavyokazwa wema na demu wako anakazwa hivyohivyo?demu wako lazima akazwe kibingwa kukulindia heshima

Ngoja vibaraka wa wema wakusikie unamsema boss wao

Cc: Dinazarde
 
Last edited by a moderator:

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom