Huyu ndio Messi!!

successor

JF-Expert Member
Oct 25, 2012
3,078
6,123
"Messi aliniuliza kama nataka kupiga penati mimi, nikamwambia hapana ningependa wewe upige ukamilishe HAT TRICK. Alimpa mpira Louis Suarez na kusema kuwa Suarez anahitaji kupata uzoefu zaidi". -Philipe Coutinho.
 
Penalt kwenye kupiga kuna kukosa pia messi hakumpa suarez goli amempa penati apige ambayo angekosa isingekuwa goli messi mwenyewe amewahi kiri kuwa katika mambo anayopaswa kuyaboresha katika soka lake ni upigaji penalt
 
Ukitaka ujue kama Mesi ana Roho nzuri au vipi kosana nae, Mpaka timu utafukuzwa. Jamaa anafitna kubwa mno.

Luis enrique, Pastore, Icardi, Dybala na hata Gurdiola anafahamu ilo.
 
Sabiki maandazi ww..mbona mechi ya Real 4 - 0 Alaves Ronaldo alimpa Benzema penalt at that time Cristiano alkuwa ameshafunga goli mbili.. kwel small minds discuss people, great minds discuss ideas..u have small minds
Wanaendeshwa na mihemko !! Ushawahi ona cr7 kaleta mtafaruku kwenye team ?
 
Hakuna mchezaji mwenye roho nzuri kama King Messi, na hakuna mchezaji bora kuwahi kutokea katika ulimwengu wa soka kama King Messi, ila sijajuwa baadhi ya mashabiki wa hapa bongo wanamchukia..WHY!!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom