Huyu ndio Invisivible

Huyu ndio Invisivible

Invisible atupe picha yake tumjue vizuri na kwanini usiku kucha halali na ana angalia kila komenti inayotupiwa humu
 
Last edited by a moderator:
Mtu wa kawaida sana ila hakai huko uswahilini kwenu I meant He is not resides in Africa.
 
dah usilolijua nani kakuambia kua jamaa halali ? analala sana tu ila tofauti ni majira ya nukta.
Invisible atupe picha yake tumjue vizuri na kwanini usiku kucha halali na ana angalia kila komenti inayotupiwa humu
 
Last edited by a moderator:
Wadau,

Kila mtu ajaribu kumvutia picha Moderator maarufu hapa jamiiforums, bwana mdogo Invisible. Tafadhali Invisible usinipige ban.

Mi nafikiri Invisible atakuwa Mweusi, mfupi, ana kitambi kidogo halafu ana mzuzu wa kiustadhi kidevuni.

1. Wewe unadhani Invisible ana muonekano upi?
2. Anapendelea nini?
3. Huwa anavaaje?
n.k

Posted by: SUPU YA MAWE (PhD Holder)

ngoja niwaibie siri😉 huyu jamaa (invisible) ndiye yule jamaa wa futuhi anaitwa nani vileeee....
ehhhheeee ni BRAZA K
 
Last edited by a moderator:
Nahisi atakuwa mcheshi,pia anapenda kuongea na kila mtu hana makuu.
 
Ni huyo hapo aliyevaa suti kali aliyependeza sana kuliko wote....... Invisible yuko unique sana na anafaa kuiongoza tanzania
10959844_10155206680635273_4961723577669984370_n.jpg
Tyta nisaidie kukuza picha ya invizibo
 
Last edited by a moderator:
Najiuliza hivi Invisible analipwa ???? Anajibu inbox kwa upole na unyenyekevu wa hali ya juu. Sijajua akikasirika inakuaje
 
Najiuliza hivi Invisible analipwa ???? Anajibu inbox kwa upole na unyenyekevu wa hali ya juu. Sijajua akikasirika inakuaje
Akikasirika ni ban hiyo usithubutu kukutwa.
 
Invisible ni mstaarabu,ila wale wapole wa kichini chini...ukimuudhi km sio kukublack mail unalambwa ban
 
Hivi jamani kwani mod ni invisible peke yake humu jf?, mbona mwa mlenga yeye tu, mkipigwa ban muanze kuichukia bure jf, watu bwna kisa ni kupata Uhuru wa kuongea jifikirieni.
Jana nimemsikia owner ktka mkasi Wa salama, ye anasema kwanza huwa hajui kinachoendelea huku jf, lkn ni kwamba wameweka wafanyakazi wake wanafatilia comment za members kisheria na kanuni, bila shaka mmoja wapo ni invisible.
Baadae baadhi ya members wakaanza kumjadili bila woga wa kuweza kupigwa ban n.k.jamani tuwe na Uhuru lkn pia tuwekeni mipaka. Mi nimejiunga humu hivi karibuni, naomba mnikaribishe, yangu ni hayo.
 
Inaelekea ni mtulivu na huwa hapigi viroba. Yeye akipata castle light 2 ni poa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom