Huyu ndio Habib Mchange

zitto mshirikina sana aliondoa mkono wa kulia wa mudhihir mudhihir kisa alimkomalia atimuliwe bungeni...naona na mkono wa dr slaa aliukosa kos sababu slaa ana Mungu. kweli uyu muha kaaga kwao.
 
leo unamkataa zitto hali ya kuwa ndio bosi wenu??

Wewe na wenzako si ndio mnaompgia mapambio humu kila siku??

Au posho hajatoa leo nin??

Humjui Ritz, wewe endelea kutembea na sumu, kwa hiyo wewe bosi wako Mbowe, hivi wewe kweli una akili hii nchi haiwezi kuongozwa na mtu yoyote kutoka Chadema wahuni nyie ndiyo tupe nchi nyie ongozeni disco unadhani raia wa Tanzania ni spika za disco.
 
Last edited by a moderator:
humjui ritz, wewe endelea kutembea na sumu, kwa hiyo wewe bosi wako mbowe, hivi wewe kweli una akili hii nchi haiwezi kuongozwa na mtu yoyote kutoka chadema wahuni nyie ndiyo tupe nchi nyie ongozeni disco unadhani raia wa tanzania ni spika za disco.



nimjue ritz me anisaidie nini

mtu ambae ni mgonjwa wa akili anishughulishe kumfahamu??ili iweje??

Ritz navofaham mimi ni mgonjwa wa akili,na kwa sasa yuko milembe

hana tofauti na huyu hapa
 

Attachments

  • sura ya ukweli.jpg
    11.8 KB · Views: 40
Humjui Ritz, wewe endelea kutembea na sumu, kwa hiyo wewe bosi wako Mbowe, hivi wewe kweli una akili hii nchi haiwezi kuongozwa na mtu yoyote kutoka Chadema wahuni nyie ndiyo tupe nchi nyie ongozeni disco unadhani raia wa Tanzania ni spika za disco.
 
nimjue ritz me anisaidie nini

mtu ambae ni mgonjwa wa akili anishughulishe kumfahamu??ili iweje??

Ritz navofaham mimi ni mgonjwa wa akili,na kwa sasa yuko milembe

hana tofauti na huyu hapa

ha haa ha, uoni mgonjwa wa akili Ritz, anavyokushughulisha kumjibu...kamanda lini mtaingia mstuni?

Tatizo lenu nyie watu wa kaskazini kila mmoja anajiona ana hisa Chadema.

Hivi nyie vijana wa Chadema mlivyokuwa na njaa mnaweza kweli kulinda kura.
 
Last edited by a moderator:
ha haa ha, uoni mgonjwa wa akili Ritz, anavyokushughulisha kumjibu...kamanda lini mtaingia mstuni?

Tatizo lenu nyie watu wa kaskazini kila mmoja anajiona ana hisa Chadema.

Hivi nyie vijana wa Chadema mlivyokuwa na njaa mnaweza kweli kulinda kura.
Watu wenyewe goi goi hawa watauweza wapi msitu ? tena huyu big show si atakuwa asusa ya makamanda manake hata kukata kuni hawezi.
 
ha haa ha, uoni mgonjwa wa akili ritz, anavyokushughulisha kumjibu...kamanda lini mtaingia mstuni?

Tatizo lenu nyie watu wa kaskazini kila mmoja anajiona ana hisa chadema.

Hivi nyie vijana wa chadema mlivyokuwa na njaa mnaweza kweli kulinda kura.



huna hoja mida hii sasa ishafika

zitto anakugongea hapo mlangoni muende kwa waganga wenu huko ukwereni bagamoyo
 

Attachments

  • ZITO AKIAGA.jpg
    53.2 KB · Views: 49

wewe mtoa rushwa usaliti una mwisho mbona husemi kwamba mzee Lichonyo alikua mwenyekiti wa mkoa na ulimtumia akuombee kura kwa kumpelekea nauli ya kwenda mchinga kukutana na wajumbe huko aliekua mwenyekiti wa vijana lindi anaweza kuthibitisha. rushwa ni adui wa haki
 
Mchange na wenzako mu wadogo sana kiasi cha kuyumbisha kiu ya watanzania kuikomboa nchi yao ...ole wenu historia itawahukumu....Udoso ilikushinda umma wa watz utauweza
 

Mkuu Mohamedi Mtoi
Naona umemsahau Mwangosi; babu ana damu za watu hao na Mungu hatamsamehe kwa hilo! Babu ndio msaliti no# 1 nafsi inamsuta; usimsahau na Dr. Ulimboka yote hayo siyo siri tunayajua.

Chama
Gongo l a mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Hizi ni tabia za kiCCM za kutoa rushwa ili ufanikishe kile unachokitaka, rushwa kwa mwana CHADEMA ni mwiko kama hutaki nenda CCM au chama chochote ambacho unaona kinakufaa.
 
Kwa sisi ambao tunamcha Mungu, hapa tunasema sala zetu zimesikilizwa na Mungu. Hawa vijana wote ni hatari na maombi yetu yamepokewa na sasa wanajianika wenyewe hadharani, kama ni hukumu hakuna kwenda mahakamani kwa kuwa wananchi wameona wamesoma na wataendelea kujasikia mengi jinsi siku zinavyokwenda. Wote wamejawa na tamaa na diyo maana ni vigumu kuweza kufanya jambo lolote lenye maslahi kwa taifa, wameshindwa kukaa hata wamalize tofauti zao sasa wanahaha kutujulisha madahmbi yao wenyewe.

Kwa kuwa wanaamini wao ni bora zaidi kama walivyojipambanua sasa waanzishe chama chao na siyo kuua kilichopo, kwa hali ilivyo wamedhihirisha hawana sifa hata moja ya uongozi au weledi wa uongozi, ziadi ya tamaa tu. Wananchi kuweni macho majina yao na picha zao sasa zisambazwe iliwajulikane katika vizazi vyote na nia zao chafu za kuliangamiza taifa kwa taamaa na njaa zao binafsi na wale wanaowatumia bila wao kujijua na bado wanajiita bora. Kutokujijua na kujifahamu ni utumwa mkubwa kwa mtu, na utumwa huo hautaisha hadi hapo utakapojitambua na kusimamia unachoamini.
 
Wale wote wanaosaliti mapambano ya haki watashindwa mapema,nakumbuka damu iliyomwagika Arusha ili kudai haki bado inanena na iko hai,hakika MUNGU atanena na wenye haki,ccm wanamtafuta Mungu maneno
 
Naona wengi wanaogopa kuchangia uzi huu wanaogopa majumbani mwao hakuna kitakachosalia kwani hadi Panya zitaangamia...
Kwa nini tuogope washirikina kama Mtetezi wetu yu HAI?
Kuna methali ya Kiswahili inasema, umoja wa wachawi haudumu. Nio haya tutayoyaona leo hapa JF
 
We si umemwaga UGALI basi mi namwaga MBOGA ndo tunapoelekea!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 

ni kweli mimi nihatari tena ni hatari sana, ni hatari dhidi ya WANAFIKI, WAONGO na WAJASIRIAMALI wa kisiasa,,,mimi sijaamua kufanya siasa kama option, nimeamua kufanya siasa kwa dhamira safi kabisa....siogopi kusimamia ninachokiamini...

siwezi kuama chama na wala sina sababu ya kuanzisha chama kingine, jasho langu limeshiriki kukifikisha chama hapa kilipo, akili zangu zimetumika kukifikisha chama hapa kilipo, nguvu zangu na muda wangu pia, sio rahisi hata kidogo kunihusianisha na kukivuruga chama changu, NI RAHISI KUNIHUSIANISHA NA UVURUGWAJI WA MASLAHI BINAFSI YA WAJASIRIAMALI WA KISIASA NDANI YA CHAMA, kwa hilo nipo radhi kwa lolote.
msimamo wangu ni thabiti, na kweli, sina sababu yoyote ya kuwa mnafiki, nitasimamia kweli na haki daima...
 
yale majibu ya mchange mbona hayawekwi juu kama ya wengine?Dr slaa kawambia jf wasiyaweke nini?

Mchange waambie mods waweke na majibu yako kwenye thread ili watu wasome na upande wa pili.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…