Hawa ndio leo wanaweweseka kumsaka mchawi wakati wao ndio wachawi
leo unamkataa zitto hali ya kuwa ndio bosi wenu??
Wewe na wenzako si ndio mnaompgia mapambio humu kila siku??
Au posho hajatoa leo nin??
humjui ritz, wewe endelea kutembea na sumu, kwa hiyo wewe bosi wako mbowe, hivi wewe kweli una akili hii nchi haiwezi kuongozwa na mtu yoyote kutoka chadema wahuni nyie ndiyo tupe nchi nyie ongozeni disco unadhani raia wa tanzania ni spika za disco.
nimjue ritz me anisaidie nini
mtu ambae ni mgonjwa wa akili anishughulishe kumfahamu??ili iweje??
Ritz navofaham mimi ni mgonjwa wa akili,na kwa sasa yuko milembe
hana tofauti na huyu hapa
Watu wenyewe goi goi hawa watauweza wapi msitu ? tena huyu big show si atakuwa asusa ya makamanda manake hata kukata kuni hawezi.ha haa ha, uoni mgonjwa wa akili Ritz, anavyokushughulisha kumjibu...kamanda lini mtaingia mstuni?
Tatizo lenu nyie watu wa kaskazini kila mmoja anajiona ana hisa Chadema.
Hivi nyie vijana wa Chadema mlivyokuwa na njaa mnaweza kweli kulinda kura.
ha haa ha, uoni mgonjwa wa akili ritz, anavyokushughulisha kumjibu...kamanda lini mtaingia mstuni?
Tatizo lenu nyie watu wa kaskazini kila mmoja anajiona ana hisa chadema.
Hivi nyie vijana wa chadema mlivyokuwa na njaa mnaweza kweli kulinda kura.
ndugu, mimi sibishani na mwanahalisi hapa, mimi nawaelekeza nyinyi mlioshikiwa akili kwa majungu na fitina...ninakupa changamoto, namba hizo hapo nenda tigo ukaulize kama ni za wajumbe wa BAVICHA...kama tigo mbali fanya kama unawatumia pesa kwa tigo pesa kabla ya hatua ya mwisho yatakuja majina yao....
hatuwezi kuujenga upinzani imara kwa kuwekeza kwenye majungu na fitna...na sio kila mtu ili mumshinde na kumshushia credibility ni lazima mseme ametoa rushwa ama ni fisadi...matokeo yake ndio hayo sasa nimeamua kuwaumbua...link mmeweka wenyewe na inawaumbua wenyewe...
Sarakasi zote hizi ambazo mnaruka nnaomba ziwakumbushe kuwa kuna vijana wenzenu wamepoteza maisha kwa sababu ya harakati za chama. Namkumbuka Ally Zona, Namkumbuka Rama kule Igunga, namkumbuka yule mwenyekiti wa Arumeru, nawakumbuka wale wengine 3 wa Arusha.
Damu zao zitaendelea kuwalilia kwa jinsi mlivyo wasaliti.
Kwa nini tuogope washirikina kama Mtetezi wetu yu HAI?Naona wengi wanaogopa kuchangia uzi huu wanaogopa majumbani mwao hakuna kitakachosalia kwani hadi Panya zitaangamia...
Kwa sisi ambao tunamcha Mungu, hapa tunasema sala zetu zimesikilizwa na Mungu. Hawa vijana wote ni hatari na maombi yetu yamepokewa na sasa wanajianika wenyewe hadharani, kama ni hukumu hakuna kwenda mahakamani kwa kuwa wananchi wameona wamesoma na wataendelea kujasikia mengi jinsi siku zinavyokwenda. Wote wamejawa na tamaa na diyo maana ni vigumu kuweza kufanya jambo lolote lenye maslahi kwa taifa, wameshindwa kukaa hata wamalize tofauti zao sasa wanahaha kutujulisha madahmbi yao wenyewe.
Kwa kuwa wanaamini wao ni bora zaidi kama walivyojipambanua sasa waanzishe chama chao na siyo kuua kilichopo, kwa hali ilivyo wamedhihirisha hawana sifa hata moja ya uongozi au weledi wa uongozi, ziadi ya tamaa tu. Wananchi kuweni macho majina yao na picha zao sasa zisambazwe iliwajulikane katika vizazi vyote na nia zao chafu za kuliangamiza taifa kwa taamaa na njaa zao binafsi na wale wanaowatumia bila wao kujijua na bado wanajiita bora. Kutokujijua na kujifahamu ni utumwa mkubwa kwa mtu, na utumwa huo hautaisha hadi hapo utakapojitambua na kusimamia unachoamini.