Huyu ndio Habib Mchange

Huyu ndio Habib Mchange

ha haa ha, uoni mgonjwa wa akili Ritz, anavyokushughulisha kumjibu...kamanda lini mtaingia mstuni? Tatizo lenu nyie watu wa kaskazini kila mmoja anajiona ana hisa Chadema. Hivi nyie vijana wa Chadema mlivyokuwa na njaa mnaweza kweli kulinda kura.
Ritz, hayo hayo unayoyasema hayapishani sana na madai ya masalia...kumbuka Ben Saanane keshakuwekea indicator lakini bado hushtuki tu. Chutama kijana, utavuliwa nguo...tik tak tik tak, its just a matter of time!

Kosa mnalolifanya nyie malimbukeni ni kuwa mnashindwa kuzisoma alama za nyakati, Chadema imefikia another level altogether lakini vilaza bado mnajaribu kuilinganisha na mara NCCR au CUF!

Hata viongozi wote wa sasa wakiondoka, Chadema haisambaratiki ng'o...it has evolved and is now bigger than a mere political party, it is a movement! Chadema ni tumaini la wengi.

Huu ujinga wa masalia mnaoushabikia hauwezi kuisambaratisha Chadema. Chadema will prevail with or without Zitto and the likes and you can take that to the bank! Mark my words.
 
Nakumbuka kumfahamu kwa mara ya kwanza kumfahamu Habibu Mhange ilikuwa mwaka 2010, alipokuja kutaka kugombea ubunge jimbo la Kibaha vijijni, baada ya kutangaza nia yake hiyo sisi kama wadau wa CHADEMA tulitaka kujua historia yake, Naye bila hiyana akatueleza kuwa yeye ni kijana mzaliwa wa jimbo hili na kwake ni kijiji cha Lupunga, ndipo tulipomshauri kuwa ni vyema twende mpaka kijijni kwao ili tukawasalimie wazazi wake na kuwatambua kwa kuwa jukumu analotaka kuomba ni zito sana.

Tukiwa safarini kuelekea huko aliposema ndio kwao aliongea mambo ikiwa na kuahidi kuwa tukirudi tu Mlandizi cha kwanza kufanya ni kulipa deni la pango la ofisi ya chama inayodaiwa na mwenye nyumba kiasi cha shilingi 15,0000.

Tulipofika ilipo shule ya kijijini hapo aliwaona wananchi wakijiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura naye alisema kuwa hana kitambulisho cha mpiga kura na akaomba naye aandikishwe, lakini sisi kama watu makini tulianza kupata shaka na uzaliwa wa Mchange Kjijini hapo kwani hata wenyeji waliokuwepo hapo hawakuonyesha hata dalili ya kumjua ukiacha kumsahau, makalani wakataka kumwekea ngumu kumuandikisha lakini walizidiwa nguvu na mashinikizo yetu na hatimae Mchange akaandikishwa, baada ya hapo tukamuomba atupeleke kwenye nyumba yao, hapo napo tukapata mshtuko mwingine alipoanza kuuliza ilipo nyumba ya babu yake, na yule aliyemuuliza akatuelekeza, tukafika mpaka kwenye nyumba hiyo na kumkuta mzee mmoja na mkewe, walipotuona hawa kuonyesha kumfahamu hata mmoja wetu, ndipo baada ya kuwasalimia walitaka kutujua sisi ni akina nani, ndipo bwana Mchange alianza kujieleza na kuwa tambulisha wazee kuwa yeye ni nani.

Baada mabishano mafupi ndipo wale wazee walimkumbuka japo kwa shida, nao wakatufahamisha kuwa kijana mwenzetu tulioandamana naye (Mchange) ni mtu wa hovyo kwa kuwa aliondoka kijijin hapo akiwa mwenye miaka 15 na kuwa hajawahi kurudi tena hapo wao ni mjukuu wao.

Baada ya hali kutulia ndipo Mchange aliwaambia wazee nia yake, kwa hasira kali yule babu yake akaapa kuwa hatomuunga mkono katika suala hilo la kutaka ubunge kwa kuwa hana sifa, babu alimuhoji kama amemtekeza yeye na bibi yake itakuwaje kwa wananchi wengine? Huku kwa majonzi mzee alituonyesha kibanda chake wanacholala ambacho kimeinama tayari kwa kuwafunika, kwa mbinu za kisiasa na ulaghai alionao Mchange alimuahidi babu yake kuwa ndani ya wiki moja kutoka siku hiyo angemjengea nyumba, baada ya maongezi mafupi tuliwaaga yule bibi na babu, tulipofika Mlandizi tulimuweka kitimoto bwana Mchange kwa mambo kadhaa, alipokumbushiwa ahadi yake ya kulipa pango la ofisi akamaka kuwa hana pesa mpaka arudi Dar, mpaka sasa kimyaaa.

Kwa kuwa Kibaha vijijini kuna watu makini wakiongozwa na akina Majuto Ngozi, Mchechu Msisina, Mohamed Ngozi na wengineo ndani ya chadema tulimuweka wazi kuwa kwa nafasi hiyo yeye hatoshi, ndipo bwana Mchange alipokimbilia jimbo la Kibaha mjini nao bila kujuwa alimuamini na wakamfanya kuwa mgombea, na hakika alikubalika na watu walijitolea kwa hali na mali ili kuhakikisha anashinda, lakini alikuwa akiwalamba visogo wananchi na kukubaliwa kununulia kwa milioni 150 kutka kwa mgombea wa CCM ikumbukwe kuwa baada ya matokeo kutangazwa na mabomu kupigwa wananchi walijitolea kuchanga pesa ili kesi ya kupinga matokeo ifunguliwe.

Bwana Mchange aliichukuwa michango hiyo kupiga danana mpaka muda kwisha!

Hivyo basi kijana huyu hafai hata ujmbe wa nyumba kumi kwa kuwa hana radhi ya wazazi wake na laana ya watu wa Kibaha ipo juu yake
 
naona sasa cdm inapitia kwenye tanuru la moto.
MUNGU AMEAMUA KUTUNUSURU NA WASALITI
 
Ubaya ubaya kajitakia siri zote zitamwagwa sasa, ili mradi kundi la PM7 sasa hivi limesawajika inawezekana kila mtu akatia akili ,akaamua kujinasua toka kwenye matunguri akatumia akili zake na kufanya yale roho yake inapenda
kwa hiyo ana laana ya kula fedha za wananchi walizo mchangia afungue kesi
 
Hili kundi la washirikina (wachawi) tumelichoka sasa. Hatutaki kuwasikia tena, sababu tayari tunawajua. Hawana lolote.
 
Mchange kamanda wangu yani sikutegemea kama wewe ni nyoka kiasi, ulikubali kurubuniwa kama kafulila alivyolubuniwa, sisi wewe vijana waliokesha kukupigania? Si ww kijana wa pale nyumba za kota kibaha? Kama ni wewe basi umekwisha. Hakika ndugu yangu inabidi ubadilike.
 
Last edited by a moderator:
Ritz, hayo hayo unayoyasema hayapishani sana na madai ya masalia...kumbuka Ben Saanane keshakuwekea indicator lakini bado hushtuki tu. Chutama kijana, utavuliwa nguo...tik tak tik tak, its just a matter of time!

Kosa mnalolifanya nyie malimbukeni ni kuwa mnashindwa kuzisoma alama za nyakati, Chadema imefikia another level altogether lakini vilaza bado mnajaribu kuilinganisha na mara NCCR au CUF!

Hata viongozi wote wa sasa wakiondoka, Chadema haisambaratiki ng'o...it has evolved and is now bigger than a mere political party, it is a movement! Chadema ni tumaini la wengi.

Huu ujinga wa masalia mnaoushabikia hauwezi kuisambaratisha Chadema. Chadema will prevail with or without Zitto and the likes and you can take that to the bank! Mark my words.

Nashukuru kaka kwa kunitusi..
 
Kila mwenye taarifa sahihi aweke ili tupime kwenye mizani na kuona kama Mchange ana faa kuwa kiongozi au anachoweza ni yale matusi na kejeli kwenye kuta za fb?
 
Last edited by a moderator:
mimi pale kibaha naenda mara kwa mara na ishu hii ya kupewa mlungula na mbunge koka naisikia sana..
taswira acha hizo dogo,..ukimsaliti zitto unageuka mbuzi maana ashawalisha kiapo na yule shosti zero brain,.zitto akila mavi na nyie itabidi mle mavi,.ndo mambo ya kula yamini hayo...he got y'all fools
 
Taarifa zinasema kabla ya CC kujigeuza mahakama ya kusikiliza shauri hilo, mjumbe mmoja alinukuliwa akimtetea Mchange. Hata hivyo, alizimwa na Dk. Slaa aliyesimama kidete kutaka chama chake kichunguze suala hilo na kichukue hatua.

Katika barua yake, Mlebele anasema alifikia katika hoteli ya Bondeni One iliyoko Magomeni. Anamtaja Mchange kuwa ndiye aliyelipa fedha hizo. Alitoa nakala ya kitabu cha wageni kuthibitisha kuwa fedha hizo zililipwa na aliyemteja.

Hapo penye red sio yule mchawi anayetishia kuua panya wa watu?
 
Mkubwa uko sahihi sana na ukweli umesema jambo ambalo linaclick katika mind ya kila mwanadamu.Cha maana tukijenge chama na si kukivunja chama mana kwa kugombana huku mwisho wa siku hata waliokua wanataka kujiunga CHADEMA watakimbia.Tunawaombeni jamani mana sisi wananchi ni kama tumeungua moto na tunatafuta penye maji(ambapo ni sehemu moja tu) ili tukajirushe na tuokoke na moto sasa kwa hali hii hata huo moto nao unatufanya tuwaze kwenda wapi?
 
Zitto maisha yake yote huwa anakuwa agaist na wanaomwongoza. Mnaobisha fuatilieni amesoma shule ngapi primary, sekondary na Undergraduate. Sishangazwi na upopo wa Zitto nashangazwa na USHIRIKINA WAKE

cc paschal Mayalla , Pasco Mwanakijiji Kitila Mkumbo Dr.W.P.Slaa Invisible
Ndio tofauti kubwa aliyokuwanayo tofauti na wewe unaeburuzwa mpaka na wasiojtumbua.Kijana ana uwezo kumzushia kashfa ni sawa na kumtandia zulia jekundu.
 
Mmechelewa, kajipangeni upya masalia. Tena safari hii mkafanye uchawi kule kule kuzimu mmpeane viapo
 
Nakumbuka kumfahamu kwa mara ya kwanza kumfahamu Habibu Mhange ilikuwa mwaka 2010, alipokuja kutaka kugombea ubunge jimbo la Kibaha vijijni, baada ya kutangaza nia yake hiyo sisi kama wadau wa CHADEMA tulitaka kujua historia yake, Naye bila hiyana akatueleza kuwa yeye ni kijana mzaliwa wa jimbo hili na kwake ni kijiji cha Lupunga, ndipo tulipomshauri kuwa ni vyema twende mpaka kijijni kwao ili tukawasalimie wazazi wake na kuwatambua kwa kuwa jukumu analotaka kuomba ni zito sana.

Tukiwa safarini kuelekea huko aliposema ndio kwao aliongea mambo ikiwa na kuahidi kuwa tukirudi tu Mlandizi cha kwanza kufanya ni kulipa deni la pango la ofisi ya chama inayodaiwa na mwenye nyumba kiasi cha shilingi 15,0000.

Tulipofika ilipo shule ya kijijini hapo aliwaona wananchi wakijiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura naye alisema kuwa hana kitambulisho cha mpiga kura na akaomba naye aandikishwe, lakini sisi kama watu makini tulianza kupata shaka na uzaliwa wa Mchange Kjijini hapo kwani hata wenyeji waliokuwepo hapo hawakuonyesha hata dalili ya kumjua ukiacha kumsahau, makalani wakataka kumwekea ngumu kumuandikisha lakini walizidiwa nguvu na mashinikizo yetu na hatimae Mchange akaandikishwa, baada ya hapo tukamuomba atupeleke kwenye nyumba yao, hapo napo tukapata mshtuko mwingine alipoanza kuuliza ilipo nyumba ya babu yake, na yule aliyemuuliza akatuelekeza, tukafika mpaka kwenye nyumba hiyo na kumkuta mzee mmoja na mkewe, walipotuona hawa kuonyesha kumfahamu hata mmoja wetu, ndipo baada ya kuwasalimia walitaka kutujua sisi ni akina nani, ndipo bwana Mchange alianza kujieleza na kuwa tambulisha wazee kuwa yeye ni nani.

Baada mabishano mafupi ndipo wale wazee walimkumbuka japo kwa shida, nao wakatufahamisha kuwa kijana mwenzetu tulioandamana naye (Mchange) ni mtu wa hovyo kwa kuwa aliondoka kijijin hapo akiwa mwenye miaka 15 na kuwa hajawahi kurudi tena hapo wao ni mjukuu wao.

Baada ya hali kutulia ndipo Mchange aliwaambia wazee nia yake, kwa hasira kali yule babu yake akaapa kuwa hatomuunga mkono katika suala hilo la kutaka ubunge kwa kuwa hana sifa, babu alimuhoji kama amemtekeza yeye na bibi yake itakuwaje kwa wananchi wengine? Huku kwa majonzi mzee alituonyesha kibanda chake wanacholala ambacho kimeinama tayari kwa kuwafunika, kwa mbinu za kisiasa na ulaghai alionao Mchange alimuahidi babu yake kuwa ndani ya wiki moja kutoka siku hiyo angemjengea nyumba, baada ya maongezi mafupi tuliwaaga yule bibi na babu, tulipofika Mlandizi tulimuweka kitimoto bwana Mchange kwa mambo kadhaa, alipokumbushiwa ahadi yake ya kulipa pango la ofisi akamaka kuwa hana pesa mpaka arudi Dar, mpaka sasa kimyaaa.

Kwa kuwa Kibaha vijijini kuna watu makini wakiongozwa na akina Majuto Ngozi, Mchechu Msisina, Mohamed Ngozi na wengineo ndani ya chadema tulimuweka wazi kuwa kwa nafasi hiyo yeye hatoshi, ndipo bwana Mchange alipokimbilia jimbo la Kibaha mjini nao bila kujuwa alimuamini na wakamfanya kuwa mgombea, na hakika alikubalika na watu walijitolea kwa hali na mali ili kuhakikisha anashinda, lakini alikuwa akiwalamba visogo wananchi na kukubaliwa kununulia kwa milioni 150 kutka kwa mgombea wa CCM ikumbukwe kuwa baada ya matokeo kutangazwa na mabomu kupigwa wananchi walijitolea kuchanga pesa ili kesi ya kupinga matokeo ifunguliwe.

Bwana Mchange aliichukuwa michango hiyo kupiga danana mpaka muda kwisha!

Hivyo basi kijana huyu hafai hata ujmbe wa nyumba kumi kwa kuwa hana radhi ya wazazi wake na laana ya watu wa Kibaha ipo juu yake
pooooooor minded.
hata mtoto aliyezaliwa leo hawezi kukuelewa kwa ujinga huu.
 
Back
Top Bottom