Huyu ndio Habib Mchange

Huyu ndio Habib Mchange

Mods mtendeeni haki Mchange majibu yake yawekeni juu hapa kama wengine.
 
mkuu mingoi,
kwa kweli tutasikia mengi nimeopa imefikia wakati makamanda wanatembea huku wameficha sumu ya panya kwenye kila mfuko wa kombati.

wewe na mwenzio mingoi wote mmeaga kwenu kama zitto tuh

wazee wa busara nyinyi
 
mwanahalisi ni gazeti la Antony Komu mkurugenzi wa fedha chadema,lilipewa kazi maalumu na wachaga ya kumchafua Zitto.
 
Njaa itakuuwa wewe akae kimya ili iweje wewe ndiyo unaonekana unamuogopa Dr Slaa huna uwezo wowote wa kuhoji wala kumpinga Dr Slaa ata akikwambia njoo upige deki nyumbani unakwenda kwa kukimbia, tena na hivi siyo wa kaskazini.

Dogo kafanyiwa hujuma na Dr Slaa akae kimya upambe bana, kwa hiyo na wewe unasubiri mbereko kama ya Heche.

MJI HUU UNA MASHARTII HADI MTU UFANIKIWEE

SIO KUTEGEMEA KUVAA MAGAUNI YA KIJANI NA VILEMBA VYA NJANO UKAJIONA NDIO WEWE

:loco::loco:

NENDA KWENYE KIKAO SHOSTI ZAKO HAO HAPO WANAKUNGOJA
 
Kazi kwelikweli kila mwenye macho hambiwi tazama,bado series ngap jaman
 
wewe na mwenzio mingoi wote mmeaga kwenu kama zitto tuh

wazee wa busara nyinyi

Mie bado nipo kwetu niage wapi tena, Kamanda unaweza kunipa sumu kidogo naiona hapo juu kwenye mfuko wa kombati...njaa zenu zipo wazi sana.
 
yale majibu ya mchange mbona hayawekwi juu kama ya wengine?Dr slaa kawambia jf wasiyaweke nini?
 
there is a force behind. Ni kwa nini kila chama kinachojitokeza kuwa na nguvu huingiwa na shetani kama hili na hatimaye kupunga taratibu mfano ni NCCR nageuzi kisha CUF sasa CHADEMA kuweni makini please!
 
MJI HUU UNA MASHARTII HADI MTU UFANIKIWEE

SIO KUTEGEMEA KUVAA MAGAUNI YA KIJANI NA VILEMBA VYA NJANO UKAJIONA NDIO WEWE

:loco::loco:

NENDA KWENYE KIKAO SHOSTI ZAKO HAO HAPO WANAKUNGOJA

Kamanda masharti gani tena kwenda kwa waganga au kutembea na sumu unajifanya Kuber.
 
Nimelimis mwanahalisi kweli alikuwa mwana halisi Zitto and co sio halisi kabisa
 
jina lingine anaitwa dude ha haa ha...hawa vijana bana.

wewe si umezoea kupewa pewa kanga pale lumumba??

Mtafuteni bosu wenu zitto muende mkawange nae basi

dawa ya wanga na washirikina kama wewe na zitto ni bunduki au sumu tuh
tena tunawekea sumu kwenye mikusanyiko yenu kama hii hapa
 
Attachments

  • NOMA SAANA.jpg
    NOMA SAANA.jpg
    187.5 KB · Views: 31
wewe si umezoea kupewa pewa kanga pale lumumba??

Mtafuteni bosu wenu zitto muende mkawange nae basi

dawa ya wanga na washirikina kama wewe na zitto ni bunduki au sumu tuh
tena tunawekea sumu kwenye mikusanyiko yenu kama hii hapa
images

Big show akilia baada ya kusikia swahiba yake Ben Saanane amefeli mipango yake ya udaku.
 
uchawi utawafikisha wapi nyinyi watoto??

Mwambie boss wenu ziito na kafulila uchawi na kula nyama za watu ndio tabia gani??msamaha kwa mungu atawaombea nani??

ONA JINSI MNAVOTAMBIKA NA KINA ZITTO WENU
 
Attachments

  • mti.jpg
    mti.jpg
    19.9 KB · Views: 27
  • SHOW 3.jpg
    SHOW 3.jpg
    72.2 KB · Views: 31
wewe si umezoea kupewa pewa kanga pale lumumba??

Mtafuteni bosu wenu zitto muende mkawange nae basi

dawa ya wanga na washirikina kama wewe na zitto ni bunduki au sumu tuh
tena tunawekea sumu kwenye mikusanyiko yenu kama hii hapa

Mie na Zitto au Chadema wapi na wapi? Tatizo lenu nyie vijana wa Chadema mnanunulika kirahisi sana, kama wewe tafuta kazi hii ya kusubiri Chadema wachukuwe nchi wakupe kazi utakaa sana.

Kama umeishawauwa wangapi kwa sumu ya panya? Vipi issue ya Chacha Wangwe ulicheza?

Nasikia wewe ni bingwa wa kuchanganya sumu kwenye kundi lenu la kigaidi.
 
mie na zitto au chadema wapi na wapi? Tatizo lenu nyie vijana wa chadema mnanunulika kirahisi sana, kama wewe tafuta kazi hii ya kusubiri chadema wachukuwe nchi wakupe kazi utakaa sana.

Kama umeishawauwa wangapi kwa sumu ya panya? Vipi issue ya chacha wangwe ulicheza?

Nasikia wewe ni bingwa wa kuchanganya sumu kwenye kundi lenu la kigaidi.

leo unamkataa zitto hali ya kuwa ndio bosi wenu??

Wewe na wenzako si ndio mnaompgia mapambio humu kila siku??

Au posho hajatoa leo nin??
 
Back
Top Bottom