Huyu ndio Habib Mchange

Mwl gfsonwin Kitila Mkumbo huwezi kumuona humu, hata hivyo alijibu jana na hawezi kuja tena. Ila namsubiri gwakisa na mwampamba arudi tena na juliana kisha kesho ben arudi tena.

Hawa vijana hakuna kitu kabisa njaa tupu!

anyway anaweza asirudi ila nafsini nasukumwa kwamba lazima atasema neno sijui lkn ngoja nikae kimya kwanza
 

.
You're very right bro, haya yote yanayotokea sii kwa uweza wala kwa akili za binadamu. Ni Mungu mwenyewe akitenda kazi mysteriously.
.
 

Itakuwa safi sana ukiyamwaga hapa tujue mbichi au kavu.
 
Swali dogo tu la kujiuliza hapa: hivi huyu Mchange ambaye tunaambiwa anaishi mjini kwa msaada wa ZZK (na yeye kwenye bandiko lake anadai Nyerere Day walinusurika wanachodai kuwa ajali ya kupangwa akiwa na ZZK wakielekea sijui wapi) alipata wapi milioni 2 na ushee za kuwahonga hao wajumbe wa mkutano mkuu wa BAVICHA?

Hii inaashiria kuwa kulikuwa na ufadhili toka kwa mtu! Je ni nani huyo? Na alimfadhili ashinde uchaguzi kwa maslahi yapi?
 
Mchange pole sana kwa unyama uliofanyiwa na viongozi wa Chadema kwa kushirikiana na Said Kubenea, R.I.P Mwanahalisi.

Kubenea mnafiki sana mpaka leo kashindwa kuwafahamu walimwagia tindikali lakini anajifanya kuandika ujinga Kubenea usicheze na mke wa mtu bahati yako.

Mchange wewe na Zitto tatizo lenu dini yenu halafu siyo watu wa kaskazini. Mungu amesikia kilio chako Mwanahalisi R.I.P.

Cc..to chama, Kimbunga, Mingoi, WABHEJASANA,
 
Last edited by a moderator:
Nimetumia neno wajinga sana hawa....; sasa naanza kushawishika ni wapumbavu pia....... the very far they can focus is only next minute!
 
Too late Mchange, bora ukae kimya kwakuwa kadri unavyofunguka unazidi kujiumbua.

Njaa itakuuwa wewe akae kimya ili iweje wewe ndiyo unaonekana unamuogopa Dr Slaa huna uwezo wowote wa kuhoji wala kumpinga Dr Slaa ata akikwambia njoo upige deki nyumbani unakwenda kwa kukimbia, tena na hivi siyo wa kaskazini.

Dogo kafanyiwa hujuma na Dr Slaa akae kimya upambe bana, kwa hiyo na wewe unasubiri mbereko kama ya Heche.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Ritz,natabiri viwanda vingi vya uongo kufungwa muda si mrefu na vijana wengi wa mtaa wa Togo kukosa ujira.
 

Kassim Awadh, kukaa kimya huku kwa huo uongozi wa CHADEMA juu ya kutajwatajwa kwa ZZK kwenye undumilakuwili na hata kuendelea kembembeleza kwa kumpa madaraka kama Naibu KM na Naibu KUB ndo kumemfanya ajione kuwa ni untouchable! No wonder huwa anadai kuwa huwezi kumchafua yeye bila kukiathiri chama, akimaanisha kuwa 'he draws a lot of water' kwenye chama. Anaamini wanogopa kumgusa kwani kufanya hivyo kutaisambaratisha CHADEMA.

Mi kwakweli nawalaumu viongozi wa CHADEMA na CC yao kwa kumlea huyu mtu kipindi chote toka tuhuma mbalimbali zimeelekezwa kwake.
 
Nimegundua hata chacha wangwe kifo chake ni dhulma kwasababu ukitaka kumpinga MH MBOWE lazima utaambiwa ww ni pandikizi la ccm TUACHENI CUF TUPUMUE

Ukiambiwa lete ushahidi hutaweza , unaongea uongo, kisa ? ID feki ! Akina tuntemeke wamefahamika , unadhani wewe umejificha ? Mh Mbowe anahusikaje kwenye huu mpango wa wasaliti ? Unajua kwa nini Deus Mallya aliachiwa kwa msamaha wa rais ? Hebu umiza kichwa kidogo basi .
 
Mkuu Ritz,natabiri viwanda vingi vya uongo kufungwa muda si mrefu na vijana wengi wa mtaa wa Togo kukosa ujira.

Mkuu Mingoi,
Vijana wengi wa Chadema wanaendekeza njaa, angalia huyu dogo kaleta ushahidi wake jamvini jinsi alivyochafuliwa kaweka na majina ya wamiliki wa namba za simu ambayo siyo wajumbe wa Chadema. Wanatokea wapambe wa Dr Slaa wanamshambulia wengine walivyo na tabia za upambe wanamwambia eti bora angekaa kimya.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Ritz, hapa tukitulia tutasikia mengi usikute hata wahusika wa issue ya Dr Ulimboka tukonao hapa hapa jamvini.Kuna mpya nimeipata hapa leo ya kulegeza nut tairi za gari nina wasiwasi sana na hawa jamaa wa PM7 wanaotembea na kubel nyekundu mifukoni.
 
Kumbe Mwanahalisi walitumika hapa aisee!

R.I.P Mwanahalisi.
 
Ninakushukuru sana mchange kwa kunionyesha unafiki wa dr slaa, mimi ni mwanachama wa chadema ila sijawahi kumwamini dr slaa zaidi ya Mbowe na Zito, na juzi nikasikia kuwa ana kadi ya CCM hapo ndipo nilichoka zaidi, nimejaribu kufuatilia hizo namba ni kweli kabisa sio za watu waliosemwa na mwanahalisi. wanajamvi jaribuni kufanya kama unatuma pesa kwenye hizo namba ndo utaujua ukweli maana majina ya wamiliki wa hizo namba wataandikwa.
 
 
.
You're very right bro, haya yote yanayotokea sii kwa uweza wala kwa akili za binadamu. Ni Mungu mwenyewe akitenda kazi mysteriously.
.
Kibabu kitaumbuka sana mwaka huu, mara mke wa mtu mara oh kadi ya CCM, na sasa tunasikia haya tena na uthibitisho. siasa haiihitaji PHD siasa inahitaji busara na usikivu na wala haiitaji kiburi kama cha babu.
 

Mkuu Mingoi,
Kwa kweli tutasikia mengi nimeopa imefikia wakati makamanda wanatembea huku wameficha sumu ya panya kwenye kila mfuko wa kombati.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…