Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 1,963
- 6,110
Umuofia…
Miaka ya mwanzoni mwa 2000 moja ya wasanii waliotoa hit song ni msanii Balozi Dola Soul.
Wimbo wake uliompatia umaarufu na mpaka leo unatamba ni ule “Balozi bado nipo”
Ni wimbo ambao hata upigwe leo, lazma utatikisa kichwa kuusikiliza kwa namana kuanzia beat mpaka mashairi yalivyopangwa.
Sasa wengi huwa hawamjui Balozi, kwakuwa aliondoka Bongo na kuhamishia makazi Marekani.
Pichani ndio Balozi Dola Soul