Huyu ndie RPC Shana kiboko yao

Status
Not open for further replies.
Amelaaniwa Amtegemeaye Mwanadamu
Mliojivunia ukatili wake mna jambo la kujifunza
Mungu hadhihakiwi
Sote ni Binadamu
Mungu wa Hasira hawai wala hachelewi
Acha atangulie akahukumiwe inavyostahili

A
Mshahara wa Dhambi ni....
 
Amelaaniwa Amtegemeaye Mwanadamu
Mliojivunia ukatili wake mna jambo la kujifunza
Mungu hadhihakiwi
Sote ni Binadamu
Mungu wa Hasira hawai wala hachelewi
Acha atangulie akahukumiwe inavyostahili

A
Mshahara wa Dhambi ni....

dunia ni uwanja wa fujo,kutia tia huruma haina maana hutakufa,utakufa tu.

ielewe dunia kwanza ndipo ujue unashika nini.
 
Aisee, wafanye kazi kwa haki,walimwengu wakimlilia Mungu hakika siku zako za kuishi ni chache mno
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom