bushland
JF-Expert Member
- Mar 6, 2015
- 7,015
- 4,982
George Washington ndie Rais wa kwanza wa Marekani, alizaliwa February 22 1732 huko Westmoreland county, Virginia.
George Washington alikuwa mwanasiasa na mwanajeshi wa Marekani ambae ndie aliekuja kuwa rais wa kwanza na Baba wa taifa la Marekani kuanzia mwaka 1789 hadi 1797.
Miaka miwili baadae baada kuwa kustaafu urais alifariki dunia na hiyo ni mwaka 1799, Dec.14
IN GOD WE TRUST