Huyu ndie diamond

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Sep 6, 2014
6,170
7,662
Nauliza Mnamuelewa Diamond? au na Nyie bado vichwa vigumu
Screenshot_2017-04-11-15-00-06.png
 
Yasije yakawa ya Wizkid na Drake!
anyway kila la kheri kama kuna project
 
Mkute katumia hiyo picha kuonesha kufunga bakuli/mdomo kama jamaa alivyokaa hapo kwenye picha nyie mkaenda extra miles.
 
Back
Top Bottom