Wa ziwa manyara sio wakubwa ivyo pia wale sio wachafu kama huyo ni tofauti kabisa wa ziwa manyara ni waoga ila hyo si unaona kuna mwamba hapo juu alitelekeza mpaka gari kakimbilia kwa mangi

Ndio mkuu kipindi cha kuandaa mashamba ya mpunga yankuwa mengi.Trekta likipita yanakuja kukamata panya na nyoka.Mi mara ya kwanza niliogopa ndo mara ya kwanza kuliona.Ila njaa ilipokaba pia lina mafuta nami nkalitafuna.