Huyu kuna mahali nilimwona kwa ushamba wangu nikaogopa kushuka kwenye gari nikaona huyu hana usalama anaweza nichangamkia nilishuka nakukimbilia dukani kununua soda ila hata nilikua sina mpango wa soda.
Anaitwa "Bwana Afya" kwa mara ya kwanza niliwaona Mwanza.
Jamaa yangu alikuwa anajuwa wanaliwa, siku alipomuona kwa ukaribu aliogopa sana maana wanamakovu na ngozi imelegea.