Mteule wa rais haramu naye ni haramu!
Kikubwa ajifunze kusikiliza kwa makini anao wahoji ili ahukumu kwa haki
Mambo yake yako hadharani. Mimi Wala waziri wa TAMISEMI simjui.Isije tu ikawa wewe mtoa mda ndiyo huyo Naibu Waziri mwenyewe. Natoa hili angalizo kwa sababu kuna Kamanda mmoja anaitwa Henry Kilewo, kuna wakati aliwahi kujipakulia minyama humu jukwaani; halafu siku ya siku akaishia tu kuumbuka.
Anapambana kujionesha ili aaminike zaidi kuliko bosi wake lengo lake akikalie kiti, ni mlafi tu wa madaraka hana lolote na mbwembwe zake asitudanganyeMambo yake yako hadharani. Mimi Wala waziri wa TAMISEMI simjui.
Huyu ata PM anaweza sana na anafaa ni mtu mwenye akili sio mropokaji na anajua kupimanmaneon yake sana
Kati ya viongozi ambao naona ni wababaishaji anayetaka aonekane kwa watu ni mchapa kazi ni huyu.