Huyu nae ni wa aina gani?

Huyu nae ni wa aina gani?

Kwani ukiachana naye utakufa?huna chako hapo sepa.

Aachane nae kwa sababu hiyo tu au kuna nyingine? NIkuulize mleta mada hiyo tabia kaianza tangia siku ya kwanza au ya karibuni tu? kwa uelewa wangu mara nyingi mwanamke akiwa hivo ujue kuna sababu, tafuta sababu, yawezekana umemkwaza na sio wanawake wote wanaweza kuongea wakikosewa wengine ni actions tu,
 
Back
Top Bottom