Huyu nae ni wa aina gani?

Huyu nae ni wa aina gani?

Kama mabadiliko mapya naweza sema kuna kitu hapo

Kama tokea uliopoanza kuwa nae naweza sema mapungufu ya kibinadamu na itakugharimu/itachukua muda sana kumbadilisha

Mwanzoni sikuyaona haya ni mappya kabisa
 
Ndo mwarobaini wangu huo maana hawapendeki hawa siku hiZi

Siyo kweli umependa a wrong person! Wewe unang'ang'ania usipopendwa! Wale wanaokupenda unawakimbia!
Huyo hapo kwako kajiegesha akimpata anayemtaka au vigezo vyake wewe atakuacha mchana kweupe
 
Watu wako bize wanasaka hela. Mapenzi ni baada ya jua kuzama. Hivi nipo kwenye board meeting nianze kukujibu sms?
 
Back
Top Bottom