Huyu nae ni wa aina gani?

Huyu nae ni wa aina gani?

kokudo

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2010
Posts
2,571
Reaction score
1,782
Mwanamke asiye jari ni mtu anaechukulia kila kitu kawaida hata kama we unamaanisha yeye anachukulia kawaida sijui nimuweke kundi gani mpaka najilaumu kumpenda maana nahisi mapenzi nimeyabeba mimi tu nishaurini nifanyeje ili niishinae kwa amani?nikituma text ye anajibu kifupi tu hivi ndo mnaishi nao hivi hawa Viumbe?
 
Heko kwa huyo mdada!! She knows the trick
Nawe umezama mzima mzima!!

Mwanamke asiye jari ni mtu anaechukulia kila kitu kawaida hata kama we unamaanisha yeye anachukulia kawaida sijui nimuweke kundi gani mpaka najilaumu kumpenda maana nahisi mapenzi nimeyabeba mimi tu nishaurini nifanyeje ili niishinae kwa amani?nikituma text ye anajibu kifupi tu hivi ndo mnaishi nao hivi hawa Viumbe?
 
Kama mabadiliko mapya naweza sema kuna kitu hapo

Kama tokea uliopoanza kuwa nae naweza sema mapungufu ya kibinadamu na itakugharimu/itachukua muda sana kumbadilisha
 
Mimi hata makundi siyafahamu ningekushauri kundi la kumuweka
 
Back
Top Bottom