Huyu mzungu too much...

Huyu mzungu too much...

Dogo mbona chat yako na wewe kama umeshakubali asee. Unaanzaje kumjibu kilaini hivyo? Kweli unajibu mara i am new to those things, mara i don't know were to start......

Asee mbona kama umeshaisha habari yako. Kama kweli hutaki huo wazimu kuwa firm asee, mwanaume anashikaje huo muwa wako, yaani mnakuwa mnaongea nini au mnafanya nini hadi ashike huo muwa? Asee we cheka na nyani tu alafu utaona utakachovuna. We unadhani kuna anaekubali tangu mwanzo au anafundishwa?

Asee umenisikitisha sana. Heku komaa dogo acha hizo mambo. Mtukane matusi ya nguoni akukome na kama huyajui mtukane hata Kiswahili akaangalie kwenye dictionary huko.

Unajua hata wanawake wengi mara za kwanza wanakuwaga kama wewe, ni hawataki ila majibu yao na kuendekeza mawasiliano na mabaharia wanajikuta wameachia na wana fall in love.

Na kwa taarifa yako usidhani we mjanja saaaaana kuwa utaishia kumgonga yeye amini nakwambia utamgonga ila nawe atakugonga

Sent using Jamii Forums mobile app
Alishaliwa huyo, maelezo yake yanajichanganya
 
Huyu jamaa response yake Iko open sana jamaa katiki huyu
 
Punga la kipolish hapo utatengenezwa mda si mrefu,ni kwamba ni mpopo huyo yuko abuja anacheza na akili yako. Kinachofuata tuma acc nikutumie dola ukabook hotel mara chabooooz🤑 Imekula kwako
 
Mpolish ana njaa kali sana, hawezi hata kusafiri kutalii,nshakwambia huyo mpopo Changanya na zako
 
Weka mazungumzo yote mpaka mwisho nijue namna ya kukusaidia kwamaana wewe umeshindwa ndo maana unahitaji msaada kwa jambo dogo kama hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaa bwana unanishangaza,hivi huyo jamaa ushakula hela zake ndio maana unashindwa kumpa makavu?you don't no where to start?kwahio unataka akufundishe pa kuanzia?maana yake umekubali tayari,

Angalia ndugu huo ulimwengu unaotaka kuingia hauna rivasi,maana mpka unashikwa muwa sijui mlikuwa mnafanya nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jasho la mtu haliliwi kizembe

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa uandishi wako sikujua kama unaweza kutoa koment mzito hivi.

Zaidi ya pesa nini kinakushinda kumkatalia huyo mzungu hata umtukane na uachane nae kabisa unamjibu kizembe zembe hivi? ...

Mi nilijua kuna unachotaka kuchota hapo.......

Tena ukicheza nae utaliwa wewe...kuna jamaa miaka imepita aliliwa staili hiyo hiyo yako.
 
Nishamkataa tyr mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom