Huyu mzungu too much...

Huyu mzungu too much...

Kama unaweza kunywa sumu ufe kabisa ili uondokane na huyo mzungu. Atakulisha limbwata muda si mrefu kama utaendelea kuwa hai
 
We ni mjinga sana. Mpuuzi. Katika majibu yoote ambayo ungeweza kumpa Unamwambia wewe ni mgeni kwe hayo mambo? Hujui pa kuanzia? Inamaana unataka akufundishe si ndio? Au unaangalia nafasi kama unaweza pata pesa ss hutaki kuipoteza?

Na kwa taarifa akikufundisha kuingilia atakufundisha kuingiliwa. Rudi nyuma, tathmini kama unataka kuingia kwe hizo tabia. Kuwa makini.
 
We ni mjinga sana. Mpuuzi. Katika majibu yoote ambayo ungeweza kumpa Unamwambia wewe ni mgeni kwe hayo mambo? Hujui pa kuanzia? Inamaana unataka akufundishe si ndio?

Na kwa taarifa akikufundisha kuingilia atakufundisha kuingiliwa. Rudi nyuma, tathmini kama unataka kuingia kwe hizo tabia. Kuwa makini.
nimempa block mkuu sitaki mazoea na mabwabwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh huogopi kusema
Nanukuu
“I’m new to this those things, don’t know were to start”
Mkuu umekosea sana kumjibu hvyo inaonesha ukipata pa kuanzia tayari unakuwa anti future lawyer , ulipaswa usimjibu chochote au umjibu kuwa huwezi kufanya huo ufirauni.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Au unajisikia raha kuchat na mzungu!!!!
 
Umeshampa go ahead ya kukufundisha kwa kuenda na wewe mdogo mdogo ulipomuambia 'am new to those things.... And I don't know where to start....'

Kelbu!
 
Back
Top Bottom