Huyu mzungu too much...

Huyu mzungu too much...

Kwa uandishi wako sikujua kama unaweza kutoa koment mzito hivi.

Zaidi ya pesa nini kinakushinda kumkatalia huyo mzungu hata umtukane na uachane nae kabisa unamjibu kizembe zembe hivi? ...

Mi nilijua kuna unachotaka kuchota hapo.......

Tena ukicheza nae utaliwa wewe...kuna jamaa miaka imepita aliliwa staili hiyo hiyo yako.
Tupe story yake kdgo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwan Huna namba za Kenny Trump? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mbona kama mmeshakubaliana?

Ungesema alipokushika muwa ulizuka ugomvi na mlipigana hapo ningekuweka kundi tofauti
 
Back
Top Bottom