future lawyer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2020
- 434
- 443
- Thread starter
- #41
najikuta nacheka nipo ushauruAu unajisikia raha kuchat na mzungu!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
najikuta nacheka nipo ushauruAu unajisikia raha kuchat na mzungu!!!!
tuliza jazba mkuu
Huo ni uchafu usikaribie
Na kweli. Siendi kufumuliwa mie.
Pesa sio kila kitu, ya nini kuitaabisha nafsi yake kisa pesa za mda mfupiMUWEKE SAWA UPATE PESA ZA BURE KISHA KIMBIA FASTA BADILI LAINI
ILA KUWA MAKINI USIJE FANYA HUO UJINGA
Anatia mashaka huyu, hadi nimeanza kuhisi ana "uraia wa nchi mbili "[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Imagine niliona hata aibu ku-comment, nitaambia nini watu? Maana aibu nimeona Mimi, Mwenyewe anamkataa taratibu wooiiii..!
Mi nashauri amege ale hela. Au unaonaje?