Huyu mzungu anataka nini?

Kuna mtandao fulan wa majuu huko mm ni mwanachama wa kudumu Mara nyingi nachangiaga mada kadha wa kadha japo kizungu changu sio kizuri sana but naeleweka hivyo hivyo kibishi

Last month nkakuta comment ya mzungu fulan kutoka US she like to support me emotionaly nkashidwa kuelewa
Nkaona ngoja nimtafute Mara oooh kanitumia emails nyingi sana she just want to be in touch with me

Hizo hapo chini ndio zilikuwa email zake nimesreenshoot

Hizo picha ni za watoto wake na wajukuu zake

Hebu nipeni ushauri hivi ni really au mnageria tu ananiletea upimbiView attachment 1380919View attachment 1380920View attachment 1380921View attachment 1380925

Sent using Jamii Forums mobile app
Utaenda kuwekwa kinyumba huko..achana nao kbs

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama unamuona huenda ni kweli,ila Mara nyingi wakipiga calls huwa wanajifanya camera zao zinasumbua mnaishia kuongea ila haumuoni..
Kuna documentary aliitoa nadhan aljazeera au bbc,inaelezea hao scammers,wahahojiwa na kueleza hadi huwa wanaenda kwenye masuala ya kuroga ili victim wao asiweze kataa,wanapata pesa nyingi tu sema huwa kidogo kidogo,Mara nyingi victims wao huwa wajane na wanawake wenye umri mkubwa,wanajua hao wapo desperate
Mie ninae anaedai ni mjerumani anaishi marekani nachati nae Kila siku uku akihaidi mambo lukuki nikakwambia naitaji nikuone muda huo huo akapiga WhatsApp call tukaonana na Kila nikiwa na shaka nae ananipigia ata kwa call WhatsApp au kawaida nami namchungulia kwa mbaliiii! Akitamka pesa tuuu mie nduki

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama unamuona huenda ni kweli,ila Mara nyingi wakipiga calls huwa wanajifanya camera zao zinasumbua mnaishia kuongea ila haumuoni..
Kuna documentary aliitoa nadhan aljazeera au bbc,inaelezea hao scammers,wahahojiwa na kueleza hadi huwa wanaenda kwenye masuala ya kuroga ili victim wao asiweze kataa,wanapata pesa nyingi tu sema huwa kidogo kidogo,Mara nyingi victims wao huwa wajane na wanawake wenye umri mkubwa,wanajua hao wapo desperate

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii habari imenichosha kwa kwelii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mtandao fulan wa majuu huko mm ni mwanachama wa kudumu Mara nyingi nachangiaga mada kadha wa kadha japo kizungu changu sio kizuri sana but naeleweka hivyo hivyo kibishi

Last month nkakuta comment ya mzungu fulan kutoka US she like to support me emotionaly nkashidwa kuelewa
Nkaona ngoja nimtafute Mara oooh kanitumia emails nyingi sana she just want to be in touch with me

Hizo hapo chini ndio zilikuwa email zake nimesreenshoot

Hizo picha ni za watoto wake na wajukuu zake

Hebu nipeni ushauri hivi ni really au mnageria tu ananiletea upimbiView attachment 1380919View attachment 1380920View attachment 1380921View attachment 1380925

Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna mzungu hapo hao wanigeria na wa Ivory Coast 🇨🇮 wanataka wakupige hela 🤣🤣
 
Kuna mtandao fulan wa majuu huko mm ni mwanachama wa kudumu Mara nyingi nachangiaga mada kadha wa kadha japo kizungu changu sio kizuri sana but naeleweka hivyo hivyo kibishi

Last month nkakuta comment ya mzungu fulan kutoka US she like to support me emotionaly nkashidwa kuelewa
Nkaona ngoja nimtafute Mara oooh kanitumia emails nyingi sana she just want to be in touch with me

Hizo hapo chini ndio zilikuwa email zake nimesreenshoot

Hizo picha ni za watoto wake na wajukuu zake

Hebu nipeni ushauri hivi ni really au mnageria tu ananiletea upimbiView attachment 1380919View attachment 1380920View attachment 1380921View attachment 1380925

Sent using Jamii Forums mobile app
Tapeli huyo anakupeleja taratbu baadae atakwambia amekutumia zawadi
 
Kuwa makini mkuu me nimeshakutana nao wengi wa hivyo niliishia kuwapiga block tu. Nigerians wako na hizo tabia sana.

Ila ambao niliona wana uhalisia kidogo ni Ukranians kabla ya vita walikuwa wanapiga video unaongea nao kabisa unamuona, wengine wanakwambia wako tayari kukukutanisha na ndg zao au anakuonyesha picha za wazazi wake, kazini kwake n.k.

Wanachodai wao ni kwamba wanaume wa Ukraine ni selfish kwenye mapenzi na wanapenda kulelewa huku wakidemand vitu kutoka kwa wapenzi wao.
 
Hawa wa Ukraine uliwapata mtandao gan?
 
Mleta mada upo jikoni unakaangwa ili uliwe. Huyo Sio mzungu bali ni Dume la Ki nigeria lipo linakuingiza kwenye sight likupige hela.
 
Hawa wa Ukraine uliwapata mtandao gan?
Kwenye dating site Yaani ukishajiunga tu wanakuja kibao wanatuma picha, video calling. Hii miji yao ya Kharkov, Kiev, Odessa,Summy, Mariopol na nyingine kibao nimeijua kabla ya vita maana walikuwa wakinitajia kwamba wanatokea huko.

Wengine ni kutokea Latin America nao ni wengi sana. USA siyo sana.
 
Dating site gan tinder?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom