Huyu mzungu anataka nini?

Kuna mtandao fulan wa majuu huko mm ni mwanachama wa kudumu Mara nyingi nachangiaga mada kadha wa kadha japo kizungu changu sio kizuri sana but naeleweka hivyo hivyo kibishi

Last month nkakuta comment ya mzungu fulan kutoka US she like to support me emotionaly nkashidwa kuelewa
Nkaona ngoja nimtafute Mara oooh kanitumia emails nyingi sana she just want to be in touch with me

Hizo hapo chini ndio zilikuwa email zake nimesreenshoot

Hizo picha ni za watoto wake na wajukuu zake

Hebu nipeni ushauri hivi ni really au mnageria tu ananiletea upimbiView attachment 1380919View attachment 1380920View attachment 1380921View attachment 1380925

Sent using Jamii Forums mobile app

Utaumia ndugu yangu...hakuna vitu rahisi hivi dunia hii
 
Wana njia nyingi na victims huwa ni wanawake sana sana
Kama moja hivi huyo mwanaume anajifanya amefiwa then hana mtoto and he works in an oil rig ,
Anakutafuta akiomba uwe mpenzi wake then unakataa lkn anaforce hivi , baada ya siku chache anakuandikia maneno mazuri mno anakuambia anakutumia zawadi kama iPhone 11 , iPad , Clive perfume na some jewelries ,
There after anakupa consignment ID uwe unatrack mzigo ,Unashangaa mzigo umeingia courrier service wakakutafuta then unaambiwa mzigo umefika ila unatakiwa utolewe clearance fee km 750 dollars.
Baadae unapigiwa simu wanajifanya mzigo wako upo u need to pay wanapofeli ni kusema unalipa kwa tigo pesa hapo ndo unaona this is bullshit . Ukituma hiyo hela hamna cargo wala nini

Sent using Jamii Forums mobile app

Hapo ndio tatizo linapoanza, kuongea na strangers kama ndugu
Tena afadhali wanaoibiwa na kutapeliwa
Wapo serial killers wanaokutumia na tickets kabisa au wanakuja na kuchinja kabisa
Kwa kweli Kuna mengine ni kuwa muangalifu na urafiki wa mitandaoni

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Ooh

Ooh ni kweli haitakiwi kabisa
 
Kuna huyo alinichek ivo ivo akaniambia ni mjeda wa US yupo Afghanistan war on terrorism,,,baada ya kuchat sana na kuniambia kila kitu kuhusu yeye...mwishon akaniambia kipindi wanafanya patrol ya makambi ya ISIS wamekutana na sanduku lina mali,,lina SAA za gold na diamonds roughly kama $10M...sasa akaniambia huko kambini amepanga yeyr na OC wake wazigawane ila wakionwa nazo watachukuliwa kama traitors... Kwahiyo akawa anafanya mchakato wa kunitumia hizo mali ...hapo ndo kupigwa kukaingia nkashtuka.
 
Kuna mtandao fulan wa majuu huko mm ni mwanachama wa kudumu Mara nyingi nachangiaga mada kadha wa kadha japo kizungu changu sio kizuri sana but naeleweka hivyo hivyo kibishi

Last month nkakuta comment ya mzungu fulan kutoka US she like to support me emotionaly nkashidwa kuelewa
Nkaona ngoja nimtafute Mara oooh kanitumia emails nyingi sana she just want to be in touch with me

Hizo hapo chini ndio zilikuwa email zake nimesreenshoot

Hizo picha ni za watoto wake na wajukuu zake

Hebu nipeni ushauri hivi ni really au mnageria tu ananiletea upimbiView attachment 1380919View attachment 1380920View attachment 1380921View attachment 1380925

Sent using Jamii Forums mobile app
UMEINGIA ANGA ZA I'M YAHOO BOYS
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom