Huyu mzungu anataka nini?

Kv-london

JF-Expert Member
Jan 24, 2014
2,816
4,805
Kuna mtandao fulan wa majuu huko mm ni mwanachama wa kudumu Mara nyingi nachangiaga mada kadha wa kadha japo kizungu changu sio kizuri sana but naeleweka hivyo hivyo kibishi

Last month nkakuta comment ya mzungu fulan kutoka US she like to support me emotionaly nkashidwa kuelewa
Nkaona ngoja nimtafute Mara oooh kanitumia emails nyingi sana she just want to be in touch with me

Hizo hapo chini ndio zilikuwa email zake nimesreenshoot

Hizo picha ni za watoto wake na wajukuu zake

Hebu nipeni ushauri hivi ni really au mnageria tu ananiletea upimbi
Screenshot_20200308-150724.jpeg
Screenshot_20200308-150649.jpeg
Screenshot_20200308-150631.jpeg
Screenshot_20200308-150743.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

  • Screenshot_20200308-150549.jpeg
    Screenshot_20200308-150549.jpeg
    71.3 KB · Views: 21
Mbona unaweka anazojibu yeye tu ilihali inaonekana na wewe unamtumia kumuuliza baadhi ya mambo? Kwanini unalalamika kana kwamba yeye ndio anakutumia email ila wewe hauhitaji mawasiliano naye?

Iwe ni utapeli au sio utapeli, haujafanya vizuri kuweka picha zao kwa mtandao.
 
Hao mi nawajua kuna mmoja wa us alinifuata baada yaku comment kwenye entrepreneur forum moja kua nahitaji mashine flani. Akazunguka we sjui anauliza napiga ishu gani, mara ntumie picha za kazi zako, mara umeoa, nkamwambia sjaoa, akaanzisha essay za kuniuliza kwanini sioi na kunishauri nioe, yeye anasema aliolewa 16 years sasa anashangaa umri wangu bado. Ikafikia kipindi kila nkifungua mtandao nakuta sms zake. Akazunguka wee lakin nkajua tuu huyu ananvizia anipige. Mwishoni akaja analeta fursa ya bitcoin
Nkajifanya siijui ili anifaamishe zaidi. Akaelezea anasema uwekezaji ambao simtumii yeye hela yeyote ntakuwa na uwezo wa kutengeneza 1000 usd per month kwa kuinvest katika mtandao flani wa bitcoin.
Baada ya kumsikiliza sana nkaja kujua kuwa hio biashara kweli inafanyika ila ukipigwa kutokua na uwezo wowote wa kumlaumu yeye kama kakuibia. Utaamini ni loss imetokea kumbe ndo ushapigwa
Alijieleza sana lakini mwisho nlimkatalia akaniambia this is for your life and future I have come to help you to escape poverty. Nlimjibu kifupi tuu Ok . Nkajua hatorudi nkajisemea moyoni akirudi atakua anataka kunitapeli. Kweli aliludi amepunguza kiasi cha kuwekeza nkampiga ban ya karne akitaka kuniona tena labda tutakutana heaven kama nkifanikiwa kufika kwa neema na nkafanikiwa fungua account mpya
 
Unataka na majibu niliyomjibu ili iweje ww nishauri tu hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
haha pia wapo watu wanamaanisha so kama ulioigwa kwa kuombwa pesa ukatuma huo ndio uchizi ila wapo watu real na serious wanataka kuwa connected tu...
kuna kipindi fulani kinaitwa "90 days fiancè" utaona watu wanavyokutana through mitandao wakutake advantage wanatake na wakumaanisha wanamaanisha pia!!!
 
Hapo sioni tatizo kabisa kwani kuna watu wanapenda tu kujua zaidi maisha ya nchi zingine
Hizo msg kwa kujua kwangu matapeli inaonekana kwanza hawana njaa na wanaishi maisha yao tu
Tapeli yeye kwanza atakuvuta kwa kukuambia Kuna hela zimekwama katika nchi moja na kwa msaada wako tunaweza kuzipata, hilo halipo kabisa
Kuwa rafiki nao tu wala halina shida maadam hakuulizi acc yako ni ipi ama tuma hela

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Hayaja kukuta ndo maana unasema hivyo
Wanaanza kidogo kidogk unashangaa unepigwa
Online scam is real
 
Hao mi nawajua kuna mmoja wa us alinifuata baada yaku comment kwenye entrepreneur forum moja kua nahitaji mashine flani. Akazunguka we sjui anauliza napiga ishu gani, mara ntumie picha za kazi zako, mara umeoa, nkamwambia sjaoa, akaanzisha essay za kuniuliza kwanini sioi na kunishauri nioe, yeye anasema aliolewa 16 years sasa anashangaa umri wangu bado. Ikafikia kipindi kila nkifungua mtandao nakuta sms zake. Akazunguka wee lakin nkajua tuu huyu ananvizia anipige. Mwishoni akaja analeta fursa ya bitcoin
Nkajifanya siijui ili anifaamishe zaidi. Akaelezea anasema uwekezaji ambao simtumii yeye hela yeyote ntakuwa na uwezo wa kutengeneza 1000 usd per month kwa kuinvest katika mtandao flani wa bitcoin.
Baada ya kumsikiliza sana nkaja kujua kuwa hio biashara kweli inafanyika ila ukipigwa kutokua na uwezo wowote wa kumlaumu yeye kama kakuibia. Utaamini ni loss imetokea kumbe ndo ushapigwa
Alijieleza sana lakini mwisho nlimkatalia akaniambia this is for your life and future I have come to help you to escape poverty. Nlimjibu kifupi tuu Ok . Nkajua hatorudi nkajisemea moyoni akirudi atakua anataka kunitapeli. Kweli aliludi amepunguza kiasi cha kuwekeza nkampiga ban ya karne akitaka kuniona tena labda tutakutana heaven kama nkifanikiwa kufika kwa neema na nkafanikiwa fungua account mpya
Wengi sana Instagram

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom