Huyu Mzee Matonya aliyepata msamaha wa Rais ni nani na alifanya kosa gani?

Swali lingine vp kuhusu Wale watoto waliyoingiliwa kinyume,je kisaikolojia watakuwaje maana n'a wao mpaka sasa hawajulikani walipo?
Huko walipo watajiskiaje

Ova

Pengine ndio Kizazi cha Mashoga wanaosumbua Mjini kwa Sasa maana hatujui athari waliyopata
 
Hivi Wewe uhukumiwe kufungwa Maisha kwa kuonewa na Mwanasiasa Mara zote unafikishwa Mahakamani ushindwe kuuropoka Ukweli hata Mara Moja na huku unajua unaangamizwa kwa kusingiziwa?

Hata Mtoto wake alieachiwa huru ashindwe hata Mara Moja kusema my Dady anatolewa kafara kwa sababu Hii?

Kama kashindwa kujitetea nyakati zile ngumu unadhan atajitetea kwny issue ipi?
Jiruhusu kufikiria kwa upande wa pili pia!
Na mimi ndy maswali yangu hayo nayofikiriaga

Ova
 
Mimi bado napinga Uamuzi wa Magufuli wa kuwasamehe kina Babu Seya hata Kama ni uamuzi halali!

Nategemea Mashirikia ya haki za Watoto wapinge nao!

Watu wameenda mpaka Court of appeal na wamefanya review ya Kesi bado wamekutwa na hatia Halafu wanaachiwa kwa kweli sijaipenda hata Kama Rais Ana haki hiyo!
Chukua kamba ujinyonge...
 
Pohamba NINA WASIWASI UNA MASLAHI NA KIFUNGO CHA BABU SEYA NA UNAUMIA SANA KUACHIWA KWAO. MKUU KAMA ULISHRIKI KUWABAMBIKIA KESI BASI SUBIRI ADHABU, WARUDI CONGO WAKAKUROGE.

ILA KAMA KWELI WALITENDA KOSA, MUNGU ATAWAHUKUMU.

HATA HVYO, WAMEFUNGWA TANGU 2004 MPAKA LEO NI MIAKA 13, KAMA KUJIFUNZA WAMEJFUNZA.

KUHUSU KUKUTWA NA HATIA NA MAHAKAMA HAIMAANISH KWAMBA UMETENDA KOSA KWA SABABU SYO KILA ANAYEKWENDA JELA ANA HATIA.. MAHAKAMA SYO MUNGU (HAIKO PERFECT NA PIA KUMBUKA KUNA RUSHWA)

MARA NGAPI KUNA MAFISAD UNAYAJUA YAMEDHULUMU UCHUMI NA BADO HAYAFUNGWI?

KTK KESI KUNA MAMBO MENG MKUU, KUTENGENEZA USHAHD, RUSHWA, UDHAIFU WA UPANDE MMOJA N.K.

HALAFU MTU ANAPOKATA RUFAA SYO KWAMBA KESI INAANZA UPYA, HAPANA, NI KWAMBA MAHAKAMA YA JUU INAREFER MAKOSA YA UAMUZI WA AWALI.

USIOMBE USINGZIWE KESI MKUU

HALAFU MKUU NAKUSHAURI TEMBELEA MAGEREZA SKU MOJA, UTABAIN ALMOST 99% YA WAFUNGWA NI WATU WANYONGE (MASKINI)
 
Wanabodi,

Awali ya yote naomba kutoa shukurani za dhati kwa Mh Rais kwa msamaha kwa ndugu na jamaa zetu wote ingawa najua future yao ipo mashakani sana.

Ila naombeni kujuzwa huyu Mzee Matonya (85) alikuwa nani na alifanya kosa gani hadi akaukumiwa maisha jela?

Naombeni elimu.
mkuu hiyo avatar yako ni balaa
 
Pohamba NINA WASIWASI UNA MASLAHI NA KIFUNGO CHA BABU SEYA NA UNAUMIA SANA KUACHIWA KWAO. MKUU KAMA ULISHRIKI KUWABAMBIKIA KESI BASI SUBIRI ADHABU, WARUDI CONGO WAKAKUROGE.

ILA KAMA KWELI WALITENDA KOSA, MUNGU ATAWAHUKUMU.

HATA HVYO, WAMEFUNGWA TANGU 2004 MPAKA LEO NI MIAKA 13, KAMA KUJIFUNZA WAMEJFUNZA.

KUHUSU KUKUTWA NA HATIA NA MAHAKAMA HAIMAANISH KWAMBA UMETENDA KOSA KWA SABABU SYO KILA ANAYEKWENDA JELA ANA HATIA.. MAHAKAMA SYO MUNGU (HAIKO PERFECT NA PIA KUMBUKA KUNA RUSHWA)

MARA NGAPI KUNA MAFISAD UNAYAJUA YAMEDHULUMU UCHUMI NA BADO HAYAFUNGWI?

KTK KESI KUNA MAMBO MENG MKUU, KUTENGENEZA USHAHD, RUSHWA, UDHAIFU WA UPANDE MMOJA N.K.

HALAFU MTU ANAPOKATA RUFAA SYO KWAMBA KESI INAANZA UPYA, HAPANA, NI KWAMBA MAHAKAMA YA JUU INAREFER MAKOSA YA UAMUZI WA AWALI.

USIOMBE USINGZIWE KESI MKUU

HALAFU MKUU NAKUSHAURI TEMBELEA MAGEREZA SKU MOJA, UTABAIN ALMOST 99% YA WAFUNGWA NI WATU WANYONGE (MASKINI)

Mie kupinga Msamaha wa Babu Seya maana yake Nina Maslahi na kifungo chake?

Mie ni Mtu mdogo sana kwny Nchi Hii sina namna ya ku influence any how Maamuzi ya Mahakama!

Nami naweza kuwaza una Maslahi na Vifiro walivyopigwa wale Watoto na Babu Seya ndio sababu unafurahia Msamaha!

Jifunze kuamini kuwa inawezekana MTu Mwingine akawaza tofauti na Wewe bila ya kuwa na Maslahi binafsi kwa utofauti wa Mawazo hayo!
 
Sema kaangalia Motive ya Kisiasa sio ubinadamu!

Kuna Vijana wa Miaka 20 bado akili hazijakomaa wamempa Mimba Kijana mwenzie wa Miaka 18 ambae ni Mwanafunzi wamepigwa Mvua za Miaka 30, Nani hapo alistahili Msamaha Tena kuumbuka Huyu Kijana kabaka kwa Mujibu wa Sheria sio kuwa katumia nguvu kuingilia
Kwanza niseme mimi ni miongoni wa wale wanaoamini kuwa Babu Seya and co walitenda makosa na adhabu waliyopewa inastahili. Hata hivyo muda waliokaa jela unatosha kuwapa funzo na hawatarudia tena makosa kama yale. Pili naungana na wewe kusema kuwa ''ingependeza zaidi'' kama rais angetoa msamaha kwa wafungwa wote wa ubakaji ambao wameshakaa gerezani kwa zaidi ya miaka 15 (ikiwa ubakaji wao haukuendana na uuaji au ukatili mwingine). Na kama ulivyosema jela zetu zimejaa wabakaji wengi ambao ukiangalia mazingira ya ubakaji wao inakuwa si haki kukaa jela maisha.
 
Mimi bado napinga Uamuzi wa Magufuli wa kuwasamehe kina Babu Seya hata Kama ni uamuzi halali!

Nategemea Mashirikia ya haki za Watoto wapinge nao!

Watu wameenda mpaka Court of appeal na wamefanya review ya Kesi bado wamekutwa na hatia Halafu wanaachiwa kwa kweli sijaipenda hata Kama Rais Ana haki hiyo!
Hoja yako sijaipata vizuri. kama suala ni kuwa waliopatikana na hatia na rufaa walishindwa, basi ngoja nikukumbushe wale wote waliopata msamaha walikutwa na hatia na ndio maana ya msamaha.
Ni kusamehe walio na makosa.
 
Hoja yako sijaipata vizuri. kama suala ni kuwa walioatikana na hatia na rufaa walishindwa, basi ngoja nikukumbushe wale wote waliopata msamaha walikutwa na hatia na ndio maana ya msamaha.
Ni kusamehe walio na makosa.

Hujaelewa Kwanini nimeandika hivyo!
Nilikuwa na jibu aliekuwa anatetea Msamaha huo kwa hoja kuwa wamesingiziwa ndio nikamjibu hapa tunajadili Msamaha sio kushinda Rufaa
 
Mahakama zote walizopitia mpaka Court of appeal ambayo bado inaaminika mpaka Sasa imewakuta na hatia na hata walipoomba review ya kesi Yao bado wamekutwa na hatia!
Hivi umewahi kuwa na kesi?Mwenendo wa kesi anaandika hakimu kwa hiyo kama kuna mambo ya msingi yanayotakiwa kuandikwa na akayaacha huna jinsi ya kubadilisha labda utaratibu wa kurekodi ungepewa nguvu.Kwa hiyo kama aliyeandika hukumu ameandika kwa kupuuza mambo mengine unaweza usichomoke hata kwenye rufaa
 
Hapa tunajadili Msamaha wa Kifungo cha Babu Seya sio uhalali wa hukumu yake au Mfumo wa Uendeshaji kesi

Kama unataka kutetea teta kuwa aliefungwa 2004 kwa kulawiti Kundi la Wanafunzi kakaa sana gerezani na kajifunza kuliko aliefungwa 1995 kwa kosa Hilo Hilo
 
Back
Top Bottom