Issue ya Wakina babu seya mm mpaka leo Niko
Nutro .....mpaka sasa wenyewe hawajakiri kama ni kweli walifanya vile vitendo,mahakama ilipowaona wana hatua na kuwahukumu bado wenyewe Wakina nguza hawajawahi kukiri mbele ya public kwa hawajafanya tendo lilo..
Labda sahivi watauweka ukweli hadharani
Ova
Hawawezi kukiri!
Gharama ya Kukiri ni kubwa kuliko ya kutokukiri