Huyu Mzee Matonya aliyepata msamaha wa Rais ni nani na alifanya kosa gani?

mkuu mm ningekusupport kama kweli 100% kosa lao ni kubaka

lkn ishakua sio siri tena hata ww utakua unajua kama kulikua na mkono wa mtu

japo sio mwanasheria lkn ile kesi iliendeshwa hovyo hovyoo hakukua na clear evidence zaidi ya mwalim na hao watt waliokua wanalalamika wamebakwa..lazma umpe mtu benefit of doubt mtuhumiwa
Wat if walipandikizwa wale watt na mwalim wao??
mwalimu ndo alikua anawapeleka watt halafu yy bado yuko huru

mm nampongeza sana mheshimiwa rais
wote tunajua wanaokwenda jela sio wote wana hatia

hata kama walibaka wameshateseka sana na kama hawakubaka basi mungu kawasaidia pia

mm niko upande wa rais kwa hili
Hii kesi wakati inaendeshwa ulikuwa wapi? Nauliza kwa sababu asilimia kubwa ya watu wanaosema wabebambikiwa hawajui hata kesi ilifanyika lini na mashtaka na ushahidi vilikuwaje? Kama kweli kuna mtu alifuatilia tangu mwanzo na anasema wanasingiziwa basi ana walakini. Ushahidi ulikuwa clear na ulinyooka kama rula. Nadhani huyu mzee na watoto wake walikuwa wanaongozwa na imani za kishirikina. Na nasikitika zaidi kuwa Tanzania hakuna media yenye kuweza kufukua na kuwahoji wale waathirika (ambao sasa ni watu wazima) ila kwa kificho (unonymous) ili waeleze watu waamini. Jaribunu kutembelea maeneo hili tukio lililofanyika kama mu wachunguzi wazuri mtajui hili jambo ni kweli.
 
Ila watanzania nani kawaaminisha kwamba ulikua mkono wa MTU? Its fascinating watu wanavyoshangilia wakati najua wabongo hata kusoma karatasi moja ya hukumu shughuli ... As a country we are doomed!!
 
Kama amekaa mahabus miaka 7,then akahukumiwa maisha halaf akatumikia kifungo miaka 37 hawez kuwa yule omba omba,ina maana kahukumiwa wakat mm nazaliwa na hyu matonya ombaomba nilishamwona kwa macho,so nadhan ni mtu mwngine ila majina yamefanana
Ni nani basi yeye?
 
Hakimu wa mahakama ya kisutu Yule mwanamama alikuwa rafiki ya wife na niliwahi mhoji sana uhalisia wa tukio lile alisema ni kweli walibaka lkn ikafunikwa sasa alipoyakoroga kwa fulani ndipo kaburi likafukuliwa.

Kama ilivyo Leo CCM inaweza kukunyamazia jinai yako ila ukiikwaza ndipo itafufuliwa.
Aiseeeée shocking
 
Hii kesi wakati inaendeshwa ulikuwa wapi? Nauliza kwa sababu asilimia kubwa ya watu wanaosema wabebambikiwa hawajui hata kesi ilifanyika lini na mashtaka na ushahidi vilikuwaje? Kama kweli kuna mtu alifuatilia tangu mwanzo na anasema wanasingiziwa basi ana walakini. Ushahidi ulikuwa clear na ulinyooka kama rula. Nadhani huyu mzee na watoto wake walikuwa wanaongozwa na imani za kishirikina. Na nasikitika zaidi kuwa Tanzania hakuna media yenye kuweza kufukua na kuwahoji wale waathirika (ambao sasa ni watu wazima) bila kwa kificho ili waeleze watu waamini. Jaribunu kutembelea maeneo hili tukio lililofanyika kama mu wachunguzi wazuri mtajui hili jambo ni kweli.
me pia baba yangu alikua kachero mkoa wa dar enzi hizo,na alishiriki katika kuwafanyia interrogation hawa watu na anasema walikiri ila wakasema kuna mganga huko kwao Congo ndiye aliyewadanganya kuwa wakifanya hivo watazidi kufanikiwa kimuziki.sasa huwa nashangaa watu wanavyosema eti walibambikiwa case kisa hawara wa kikwete,by the way 2004 kikwete hakua rais bado,sasa aliwezaje kuwashawishi majaji?
 
Mleta Mada kaulizia Matonya aliyesamehewa aliua aualifanya kosa gani wachangiaji wamejikita kwa Babu Seya nyie vipi?
 
Katiba inampa mamlaka mkuu wa nchi kupitia kifungu cha 45 (Uwezo wa kutoa msamaha sheria ya 1984 na 15 ibara ya 9) na vipengele vyake vya (a, b, c, d) Yupo ndani ya katiba ndio
Ila ibara hiyo inaposema, BILA KUATHIRI MASHARTI MENGINE YALIYOMO KTK IBARA HII, wanamaanisha nini?? Ni masharti gani haya??
See below a script from the contitution of JMT reference to chapter 45.
20171210_101810.png
 
Hata Mtoto wake alieachiwa huru ashindwe hata Mara Moja kusema my Dady anatolewa kafara kwa sababu Hii?

Kama kashindwa kujitetea nyakati zile ngumu unadhan atajitetea kwny issue ipi?


Jiruhusu kufikiria kwa upande wa pili pia!
Unazungumzia mtu kuonewa na kushindwa kusema ukweli nchi hii au???

Roma katekwa, alipokuwa huru alisema kilichomkuta? Lisu keshasema hawajui waliomshambulia. Mhe mwenye nchi mwenyewe amesema hafukui makaburi....kwa lugha nyingine ni kuwa anajua kuna madudu mengi yamefanyika, waliofanya anawajua lakini hawezi kusema wala kuwawajibisha......sembuse mwanamziki tu tena mwenye uraia wa mashaka???
 
Kama amekaa mahabus miaka 7,then akahukumiwa maisha halaf akatumikia kifungo miaka 37 hawez kuwa yule omba omba,ina maana kahukumiwa wakat mm nazaliwa na hyu matonya ombaomba nilishamwona kwa macho,so nadhan ni mtu mwngine ila majina yamefanana
Shikamoo bro. Kumbe huku hatutakiwi kubishana na watu wengine
 
Issue ya Wakina babu seya mm mpaka leo Niko
Nutro .....mpaka sasa wenyewe hawajakiri kama ni kweli walifanya vile vitendo,mahakama ilipowaona wana hatua na kuwahukumu bado wenyewe Wakina nguza hawajawahi kukiri mbele ya public kwa hawajafanya tendo lilo..
Labda sahivi watauweka ukweli hadharani

Ova
Itakuwa ngumu kwao ktk hilo la kuzungumzia khs case yao..
 
Back
Top Bottom