kabugira JF-Expert Member Joined May 14, 2014 Posts 1,186 Reaction score 665 Sep 7, 2014 #2 Kwa hapa tulipofikia ndugu Yang so rahisi kumpata MTU kama Hutu ndugu yangu. Inasikitisha saaana.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,456 Reaction score 872,092 Sep 7, 2014 #3 kabugira said: Kwa hapa tulipofikia ndugu Yang so rahisi kumpata MTU kama Hutu ndugu yangu. Inasikitisha saaana. Click to expand... kabugira atatokea tu lakini itachukua muda na baada ya kuteseka sana Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
kabugira said: Kwa hapa tulipofikia ndugu Yang so rahisi kumpata MTU kama Hutu ndugu yangu. Inasikitisha saaana. Click to expand... kabugira atatokea tu lakini itachukua muda na baada ya kuteseka sana
SNAP J JF-Expert Member Joined Dec 26, 2013 Posts 7,117 Reaction score 8,096 Sep 7, 2014 #4 Hayo ndio matunda ya ubepari tunayoanza kuyala sasa
ismase Senior Member Joined Feb 12, 2010 Posts 116 Reaction score 16 Sep 7, 2014 #5 Sijaona jambo la maana amezungumza hapo. Kwani we huwezi kuona jambo dogo kama hilo? au kila akisema Nyerere unadhani cha maana? Hovyooooo
Sijaona jambo la maana amezungumza hapo. Kwani we huwezi kuona jambo dogo kama hilo? au kila akisema Nyerere unadhani cha maana? Hovyooooo