Huyu mwanaume simuelewi

Anakumendea huyo siku akikushika utajutia... Me mwenyew nipo hvo hvo
 
sikia wanaume wa kishua siyo washamba kiasi hicho anaeza akakununulia zaga nakukupa chochote na asitake kitu.

sema wabongo wengi tunachukulia mambo tofauti pengine amechukua namba ila hakuelewi kiivo yaan yeye na huyo dada ake wanaona bado hujakaa mkao kwao wanakucheki kwanza.

So huyu sio kama hawa wanaume wa uswahilini unakuta anauzungu emu chunguza maana mi nimekulia mazingira ya hivi nawafahamu sana.

afu kama anataka akukule basi anafanya kitu soon ili dada ake asijue maana akijua lazima ataleta varangati hapo nyumbani.

Hii moment inanikumbusha nilivo fika moshi kuna broh wangu alikuwa na manzi kama ulivoeleza you have the same situations by the way.
 

Mie hapa mami, naomba hizo digits
 
[emoji23][emoji23] kuna mdau alileta Uzi apa MMU kwa nin wadada wengi wanawapenda playboys.. Na sio wa kaka wastarabu.. Na wapole wapole.. Nais Ndicho unachopitia. Angekua play boy apo hawez kuongea Iv iv tu bila ya kukushika shika

Any way nisi base sana kwenye Huo mtazamo ukija side B pia huenda ni wale wa kaka ambao hawapend kuonekana waalibifu.. Kama amekuelewa mara nying wanapenda kwnda na she slow slow.. Sio wale zimepita siku 3 anaomba shoo.. Anaisi utamuona malaya.. So kama vipi dance na beat yake..
Raha ya mwanaume hata anivute vute alafu niwe nakataa sasa huyu zero. Story tu
 
Jaman huu uzi ufungwe tu , jamaa enyewe tulishaachana kitambo.
 
Mwanaume kama unajijua ni mweusi,mrefu,una upara(ule wa kunyoa lakini,sio uwaraza) bila kusahau uwe na ndevu jiongeze hapo for them digits

Kipau(o)mbele kitatolewa kwa atakayeomba mchezo mapema zaidi
If you know you know 😁
 
Kumbe unataka kushikwa! Pole sana kazi ipo
 
Hivi nyie akina dada mnataka nini mbona hamweleweki? Angekuomba mzigo siku ya pili tu bado ungekuja kuomba ushauri... Sasa cha kufanya mpeleke hotel ukaanze wewe hapo ndo utapata mawazo yako binafsi nini ufanye.
Huyu anapenda sana ile michezo hilo lipo wazi
 
Haujatoa mrejesho mliachana kisa nini baada ya kuonyana????
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…