Huyu mwanaume simuelewi

Nianze kwa kukuuliza dada,je huyo jamaa unamhitaji kama mwenzi wa maisha au unataka mfanye tu? kama ni mwenzi wa maisha vumilia Mungu hapendi uzinifu,mda utafika mtafanya sana. kama ni ili mfanye tuu Muombe usiku mmoja mwambie ujiskii kurudi nyumbani utapumzika kwake,kisha jiongeze usiku huo kwa mitego kama mwanamke.

NB; Usifuate tamaa za moyo,isikilize akili kwa ajili ya maisha ya kesho.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…