nazjaz umeshaachana na husband?maana topic yako ya nyuma,ulisema una mume anakupa kila kitu.leo una chombo kipya.mmmh
Tangu juzi niko kisiwani Mafia kwa mapumziko ya ldd nikiwa na chombo kipya. He is tall, black, mascular without a tammy belly.

Pesa anayo, mwerevu na mkarimu. Kitandani ni zaidi ya maelezo, muziki wake mzito ati!!!!! Tatizo lake baada ya kumaliza mechi, hulala fofofo, hukoroma kwa sauti ya juu sana kiasi kwamba nashindwa kulala, usiku uliopita amekoroma hadi watu wa first aid wakaja wakidhani tunatatizo. Pia huwa anajamba kila wakati tena kwa sauti na bila kujalisha tuko na nani
Doh Nazjz wangu....nilikuwa kimya sana siku nyingi,ila leo nashukuru umefunguka kama gari yenye Nitro.Karibu kwangu Arusha mimi ndio yule ninayetakiwa kuwa nawe.Doh mapungufu yote ya shemeji,kwel unateseka.Njoo mamaa ule bata kwa nazi.

Tangu juzi niko kisiwani Mafia kwa mapumziko ya ldd nikiwa na chombo kipya. He is tall, black, mascular without a tammy belly.

Pesa anayo, mwerevu na mkarimu. Kitandani ni zaidi ya maelezo, muziki wake mzito ati!!!!! Tatizo lake baada ya kumaliza mechi, hulala fofofo, hukoroma kwa sauti ya juu sana kiasi kwamba nashindwa kulala, usiku uliopita amekoroma hadi watu wa first aid wakaja wakidhani tunatatizo. Pia huwa anajamba kila wakati tena kwa sauti na bila kujalisha tuko na nani, marafiki zake ama marafiki zangu, hili naona liko nje ya control yake. Je nimsaidieje shemeji yenu na kumwacha sitaki hata kidogo?
Well saidhivi huyu ni mzungu.............................................ninakumbuka huko nyuma ulituuma sikio ulivyokuwa ukimsaka mzungu kwa udi na uvumba................kujambajamba.............................hivyo ni vyakula tu..................chunguza ala nini na vibadilishwe na kuachana na vinavyozalisha gesi nyingi kama maharagwe, karanga maziwa na proteni kupita kipimo...................apunguze kuapakia na anywe maji mengi.............kama mashine yake umeridhia huo ni mwanzo swafi mwanangu...............mambo ya pesa ni kiini macho tu...........awe nazo au la yote sawa tu ila kibali ni roho yake umeiafiki............................kukoroma nako kunatokana na jinsi anavyolala.............kama anala...................ipo aina ya chupa aweze kulala ikiwa imefurika mdomni na kamwe hata koroma........................................lakini weye ulipotelea wapi iko siku mingi sioni makala yako humu jukwaani.................

Haya mambo ya kunianika hadharani jamani sio mazuri, tungelijadili kwanza tukubaliane kama tunaliweka public or no.

We Naz usi2chefue,inaelekea hujafundwa..kama unampenda huyo m2 ungekuwa mstaarabu kutafuta ushaur in a private way co kuanika mambo ya chumban kwny Jf .JIHESHIMU NACC UTAKUHESHIMU.
Tangu juzi niko kisiwani Mafia kwa mapumziko ya ldd nikiwa na chombo kipya. He is tall, black, mascular without a tammy belly.
Pesa anayo, mwerevu na mkarimu. Kitandani ni zaidi ya maelezo, muziki wake mzito ati!!!!! Tatizo lake baada ya kumaliza mechi, hulala fofofo, hukoroma kwa sauti ya juu sana kiasi kwamba nashindwa kulala, usiku uliopita amekoroma hadi watu wa first aid wakaja wakidhani tunatatizo. Pia huwa anajamba kila wakati tena kwa sauti na bila kujalisha tuko na nani, marafiki zake ama marafiki zangu, hili naona liko nje ya control yake. Je nimsaidieje shemeji yenu na kumwacha sitaki hata kidogo?
mmmh! Kujamba hata mbele za watu,duuh tena kwa sauti? Kaz unayo dada angu,bt co ishu kama anakupiga mti fresh mbona haina tatizo hyo

Alaa kumbe ni weye sheikh? Eid Mubarak!

Yawezekana ana KIPAJI ambacho mwenzake (thread initiator) hajui.......MAMBO YA MOMBASA HULETA HALI HIYO YA MISHUZI BILA SPEED AND/OR LOCATION MONITOR......

Yawezekana ana KIPAJI ambacho mwenzake (thread initiator) hajui.......MAMBO YA MOMBASA HULETA HALI HIYO YA MISHUZI BILA SPEED AND/OR LOCATION MONITOR......
Dawa ya kuacha kukoroma ni rahisi sana endapo atazingatia. Ni hivi, kukoroma kunatokana na kulegea kwa koromoe. Kwa hiyo ili koromeo lirudi katika hali yake ya kawaida, anatakiwa kufanya mazoezi ya kutoa ulimi wote nje ''frequently'' mara 20 kila siku asubuhi na kijini. Zoezi hili anatakiwa kulifanya kwa wiki mbili mfululizo!
Kwa kufanya hizo, misuli ya kwenye koromeo itakaza na ataacha kukoroma.

Laana ya Mwenyezi Mungu ikushukie kwa kuihusisha sikuku ya Eid na ufuska wako.

Umekwenda kwenye ufuska na laana zako na hazihusiani na Eid kabisa. Tafadhali usikejeli imani za watu. Waislaam hatusherehekei Eid kwa ufuska.