Huyu mwanaume mbona hanidhuru

Huyu mwanaume mbona hanidhuru

Wiki moja ni muda mfipi sana,aongea naye ukute ana stress za kazi.Mwisho wa mwaka unakaribia,anaweka mambo sawa ya kiofisi.
 
Uko wapi wewe!yaani hata mie wife kafunga vioo wiki sasa!hebu tutafutane basi! Lakini cheki kwanza kama hajaweka kinasio

Usiogope kunasa wala nn kula mzigo huo! Nimemwambia amesema anakupm.
 
Bibie habari yako, kwanza punguza munkari na ondoa maneno ya kejeli maana huko nje kuna wanawake wana uke mtamu kuliko hata huo mdebwedo ulio nao. Umetutusi wanaume na kutudhalilisha hapa jamvini.
Kaa chini na mumeo uongee naye na utumie maneno haya haya uliyotumia hapa jukwaani, kifuatacho ITV itakua ndio suluhisho la ndoa yenu, otherwise jifunze adabu kwanza alaaah!
 
Hata mimi nina matatizo kama hayo hayo kwa mke wangu, hanidhuru kabisa unaonaje tukijipanga tuwakomoe nasisi?
 
We toka tu nje ya ndoa kumbe mwenzako ameshakuwekea password ya temeke.
 
Yani hapa ninahasira kibao, mwanaume wiki nzima ndani anakuangalia tuu hata kunidhuru hanidhuru, lipo tuu linajitia eti lipo busy na kazi, yani kama vile hanioni, kitanda nakiona kikubwa, nikimgusa anajidai kama vile kalala unono kumbe lipo macho, yani deadline nimemwekea ni leo, asiponigusa tuu, naenda kudhurika nje, mwanaume gani hana madhara?mbona zamani hakua hivyo, ananikera basi tuu, yani kantia hasira, kila mtu anayekatiza mbele yangu natamani nimtukane.

"Aliwazalo mjinga ndio litalomtokea"-Afande Sele
 
Mume akimwaga mboga wewe mwaga ugali,ndio usemi wa wengi siku hizi na mwisho wake huwa ni madhara kwa wote ndani ya familia, mambo ya kuchakachua nje si mazuri na wala sikushauri ufanye ujinga huo,unamjua mwanaume wako vizuri hivyo una nafasi nzuri ya kujua kwa sasa anapitia wakati gani kiasi kwamba hawezi kukupa haki yako.
Zungumza nae na utapata suluhisho.
 
Mie kuna siku nilisema hapa
Watu wakabiiiiisha
Mwanamme akiwa busy tu, anakata service

Huna zombie bibie?
We Da Kongosho huyo mtu anakuwa buzy anajibuzisha na kitu gani? Hiyo laptop itazimwa kwa makalio nakwambia na kama ni TV basi channel itarekebishwa kwa vituko vya kila aina ikishindikana basi aendelee na ubuzy wake na weye endelea na 'ubusy wako kwake' tuone kama atavumilia!
 
Last edited by a moderator:
Mwenzio anamaliza mambo yake saa6-9mchana, anarudi ofisini anafungasha na kurudi kwako akiwa kajichokea...
Akicheza na wanae nusu saa basi ni usingizi wa hatari na kumuwaza yule anayempa mibinuko ya sarakasi!
Chukua hatua!..Tafakari!
Source: lara 1
Huyu member ana lake jambo post zake ni mbili tuu, hebu chunguza Mkuu !!!!!

Unataka wa kukudhuru??

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ujue kila mwanamke ana ujasiri wa aina yake

Mie mtu akijifanya busy, awe busy kweli, awe kajibizesha
Huwa sijali sababu sheria inanilinda mwanamme habakwi

Huwa nahakikisha, nimembaka na nikimaliza nasinzia kwa raha zangu
Lakini kile kitendo cha kujidai mtu hajui wajibu wake ndio kinakera

Sasa huyu mleta mada bado anaonekana anaishina wanamme kwa hisia zaidi
Wakati mwingine ishi na mwanamme kwa mahitaji zaidi, DAI unachohitaji kutokwa kwake kama kipo ndani ya uwezo wake

Akikataa kusimama wakati wa ubakaji, ita hata Majembe Action Mart kwa msaada zaidi
We Da Kongosho huyo mtu anakuwa buzy anajibuzisha na kitu gani? Hiyo laptop itazimwa kwa makalio nakwambia na kama ni TV basi channel itarekebishwa kwa vituko vya kila aina ikishindikana basi aendelee na ubuzy wake na weye endelea na 'ubusy wako kwake' tuone kama atavumilia!
 
Yaani kwamba wewe umeshindwa kumtega? Eh we bi dada hebu uwage unakuja PM kwanza kabla hujarusha hadharani. Kwa mwanamke mbona ni rahisi tu kugeuza hali ya hewa best? Mashamushamu, ucheshi, upendo khanga za India, maji n.k umevimaliza?

ni bora ange pm kwanza;unajua, hawa ndio wale wanawake wasiotaka kujishugulisha kwa waume zao, eti mwanamume ananiona. huko anakotaka kwenda ataendaje, ataanzaje kwa huyo mume wake wa nje, mpaka amuelewe kuwa anataka? kama nje anaweza(amesema amempa deadline leo)., kwa nini hasitumie maujanja hayo hayo ndani?
je anafikiri kweli anampenda mumewe?,au amechoka nae na anatamani vya nje-ushetani mkubwa huu.... au alilazimishwa kuolewa naye.
na pia anaonekana kuwa ana majibu ya kunya kwa mumewe, au anaposhikwa hivi hataki au mpaka atakapojisikia yeye.abadili mtazamo
 
Shoga tabu yote ya nini?
Kula vichwa kama huna akili nzuri.
Ukiona hvo,ujue kuna mtu anammwagia wazungu wake.
Ukishindwa nitakusaidia.
Wanaume wanakera kwa kweli.

Usituchanganye...!!! :A S-frusty: Usidhani kila aliyevaa suruali ni mwanaume.
 
unataka kudhuriwa hali hujamdhuru mwezio kimawazo. hujamwamsha awe na muwasha washa na wewe. unaharibu akili yake.
laiti kama ungeamua kumtuliza hiyo akili yake...angeshakudhuru siku nyiingi, oh na kila siku. mambo haya yanategemea na ubongo uliotulizwa.. Ni mambo gani ambayo mumeo anakerwa nayo ambayo umechukua jukumu la kumsaidia?au umemwacha afe nayo?
 
Ujue kila mwanamke ana ujasiri wa aina yake

Mie mtu akijifanya busy, awe busy kweli, awe kajibizesha
Huwa sijali sababu sheria inanilinda mwanamme habakwi

Huwa nahakikisha, nimembaka na nikimaliza nasinzia kwa raha zangu
Lakini kile kitendo cha kujidai mtu hajui wajibu wake ndio kinakera

Sasa huyu mleta mada bado anaonekana anaishina wanamme kwa hisia zaidi
Wakati mwingine ishi na mwanamme kwa mahitaji zaidi, DAI unachohitaji kutokwa kwake kama kipo ndani ya uwezo wake

Akikataa kusimama wakati wa ubakaji, ita hata Majembe Action Mart kwa msaada zaidi

Ahaaaa hapa tuko pamoja Da Mkubwa. Nakubaliana na wewe hapo pa Kuishi kwa Mahitaji na kwa Hisia ah mwenzangu nimetoka kwetu sikufuata ugali sasa kama hanipi nilichofuata anategemea atanipa nani zaidi yake?

Hahah hapo kwa Majembe Auction umenifanya nicheke kwa nguvu
 
ni bora ange pm kwanza;unajua, hawa ndio wale wanawake wasiotaka kujishugulisha kwa waume zao, eti mwanamume ananiona. huko anakotaka kwenda ataendaje, ataanzaje kwa huyo mume wake wa nje, mpaka amuelewe kuwa anataka? kama nje anaweza(amesema amempa deadline leo)., kwa nini hasitumie maujanja hayo hayo ndani?
je anafikiri kweli anampenda mumewe?,au amechoka nae na anatamani vya nje-ushetani mkubwa huu.... au alilazimishwa kuolewa naye.
na pia anaonekana kuwa ana majibu ya kunya kwa mumewe, au anaposhikwa hivi hataki au mpaka atakapojisikia yeye.abadili mtazamo
Rukiko basi taratibu hahaha maana utamfanya akimbie kabla somo halijapanda. Pengine ni wale wasomi wenye kazi zao ambao hata kumdekea mumewe anaona kama anajishusha hadhi mwe!! Wenzake wanatambaa kama watoto wadogo wakiwa utupu ilmradi tu vituko kiasi kwamba mumewew akiwa kazini akikumbuka tu anaishia kutabasamu kwa vituko vya mkewe.

Kwenye mapenzi, mahaba hakuna usomi wala utajiri wala ubosi maana kama ni raha na vilio vyote hufanana hakuna vya kisomi (with exception ya yes, yes, yes ambayo hata mtoto mdogo anajua kuisema) wala vya kibosi!
 
Last edited by a moderator:
Yani hapa ninahasira kibao, mwanaume wiki nzima ndani anakuangalia tuu hata kunidhuru hanidhuru, lipo tuu linajitia eti lipo busy na kazi, yani kama vile hanioni, kitanda nakiona kikubwa, nikimgusa anajidai kama vile kalala unono kumbe lipo macho, yani deadline nimemwekea ni leo, asiponigusa tuu, naenda kudhurika nje, mwanaume gani hana madhara?mbona zamani hakua hivyo, ananikera basi tuu, yani kantia hasira, kila mtu anayekatiza mbele yangu natamani nimtukane.

anakupenda sana. pengine hataki kukuambukiza gono alilolipata nje.
subiri akipona atakurukia.
mchunguze kama hatumii anti-biotic.
 
Could be two things, eiza wewe umepoteza mvuto kwake au jamaa ni mwaminifu sana kwenye ndoa yenu...hii nikutokana na lile andiko lisemalo......one hole kill penis....! Jamaa akijua kubinjuka nje, akirudi kwako lazima akuone mpya....!

Ushauri wangu usifanye vitu kimazoea, na lazima uwe mbunifu ili akupelekee moto.

Kibanga Msese
 
Back
Top Bottom