Huyu mwanaume ananipenda kweli?

Wew unanisema mimi au

Kama wew ni mchumba wangu nakupenda ila mimi congi
 
Kutoa ni moyo dada anaweza akawa anakupenda ila ni mchoyo[emoji12]
 
Hapa duniani principle ni hivi mabadiliko tunayopitia ni vipindi katika hii Zama mpya. Watu wanajaribu kuishi Kwa misimamo yao. MFANO mimi naamini hivo kwamba kila mtu ajitahidi ku survive Kwa njia zake. Mapenzi mna share wote. Usipopata hela Tulia. Maisha mazuri yatakuja mbeleni kidogo.
 
Wakina dada Muda unavyoenda mtaelewa. Watu wanevurugwa. Kuwa mwanamke mzuri Ishi maisha ya kawaida kama hela ni ngumu kupata
 
ha ha ha ha dadeki mkopo unaumaa? nacheka utasema mazur

ha ha ha ha et unywe supu nzitoooooo
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] anna pita
 
Binafsi nakushauri acha uasherati Dada mgeukie Yesu Mume bora atoka kwa BWANA
 
Sasa upewe pesa kwa kazi gani ulyofanya labda?
 
haya mambo haya kwel usisubir kukutwa na bwana pepsi sasa dada etu hakutoka hata na naul ya boda boda
inauma asikuambie mtuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaan mm kwanza ile unaondoka ntanunaa...

dawa ya mbahili unamkomesha kwenye mloo...

nakula ht 20 at least yaani

naagiza kukuu mzima[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ,chips,yai Bavaria,maji ya na mishikaki 2
 
ha ha ha ngoja nkutafutie siku nkukope tena mkopo huu nii zaid ya bodi ya mikopo utalipia mpaka hotelii
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…