Huyu mwanaume ananipenda kweli?

Anna pita

JF-Expert Member
Jul 10, 2012
227
425
Nina mpenzi wangu nampenda saana na yeye kwa madai yake ananipenda. Kiukweli sijawahi kumuomba hata sent 1 na sina tabia hiyo but nashindwa kuelewa hata kama mtu unampenda kweli unashindwa hata kampa hela ya vocha tu!

Leo kuna kitu kimeniuma sana, jana kaniambia tutoke tukaenda gesti tumelala asubuhi kaondoka jamani hajaniachia hata hela ya nauli. Kilichoniuma alipofika kazini kaniandikia msg "dear jitahidi unywe supu nzito kabla haujaondoka si unaona kazi ilivyokuwa".

Nimeumia sana na jana kapokea mshahara roho imeniuma sana nashindwa nimuweke kundi gani. Naomben ushauri huyu mtu ana mapenz na mimi kweli??
 
Mie ni mwanaume aisee ila huyu mwenzetu kazidi na hastahili kabisa kumilik mwanamke, kwa nijuavyo mimi na ndivyo ilivyo ni kuwa mwanamke anahitji kutunzwa mno na pia kupewa kipaumbele hasa kwa masuala ya matumizi kwakuwa wanawake wanahitaji kujiremba na kukipamba kila kiungo chao na ndo inavyotakiwa..Dada yangu naomba umpige chini huyo dume suruali haraka sna
 
Nina mpenzi wangu nampenda saana na yeye kwa madai yake ananipenda. Kiukweli sijawahi kumuomba hata sent 1 na sina tabia hiyo but nashindwa kuelewa hata kama mtu unampenda kweli unashindwa hata kampa hela ya vocha tu!

Leo kuna kitu kimeniuma sana, jana kaniambia tutoke tukaenda gesti tumelala asubuhi kaondoka jamani hajaniachia hata hela ya nauli. Kilichoniuma alipofika kazini kaniandikia msg "dear jitahidi unywe supu nzito kabla haujaondoka si unaona kazi ilivyokuwa".

Nimeumia sana na jana kapokea mshahara roho imeniuma sana nashindwa nimuweke kundi gani. Naomben ushauri huyu mtu ana mapenz na mimi kweli??
Muendelee kulala gest tu ila kaa ukijua wakuolewa ni mwingine
 
Unaweza kuwa sababu ya mwanaume kuwa hivyo. Kuna wanawake hujifanya hawataki pesa hata ukiwapa na hivyo mwanaume kuamua kukuacha hivyo huku akiendelea kujilia vyake.

Nasema hii ikiwa imenitokea. Niko na mpenzi yeye mwajiriwa serikali idara ya afya. Naujua mshahara wa mtumishi wa umma na ukizingatia hawanu hii ya tano. Kila nikijaribu kumpa amekuwa akionyesha hazitaki na wala hasemi ahsante. Kwahiyo nami nimeamua kutompa tena. Sasa unaweza kukuta naye analalamika kama wewe.
 
Inawezekana hajui kama anachofanya sio sawa
Ukute anajionea kawaida tu

Mwambie abadilike
 
Similar Discussions

8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom