Huyu Mwanasheria Mkuu wa Serikali mbona simuelewi | Page 4 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huyu Mwanasheria Mkuu wa Serikali mbona simuelewi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by natoka hapa, Apr 20, 2017.

 1. natoka hapa

  natoka hapa JF-Expert Member

  #1
  Apr 20, 2017
  Joined: Feb 28, 2014
  Messages: 6,240
  Likes Received: 7,674
  Trophy Points: 280
  Wakuu kama mnafuatilia mijadala ya bunge kuna jambo linashangaza, huyu mwanasheria mkuu wa serikali Bw. George Masaju mbona amevaa sura ya ubunge(mwanasiasa) kuliko sura ya utumishi wa umma.

  Nasema hivi kwa sababu sheria ya utumishi wa umma inamtaka mtumishi asiegemee upande wowote wa chama cha siasa lakini huyu Masaju ukimuangalia anaongea kiushabiki wa chama cha siasa.

  Hii ni hatari kama tumefikia huku, alafu nimejikuta namshusha heshima zake kutoka 100% mpaka 0%.
  Mungu anisamehe kwa mtazamo huu.
   
 2. A

  Akasankara JF-Expert Member

  #61
  Apr 21, 2017
  Joined: Feb 28, 2015
  Messages: 1,729
  Likes Received: 1,752
  Trophy Points: 280
  Kigezo kikuu cha huyu masaju kuwa pale alipo ni kutokana na "ukanda wa ziwa victoria" ambapo ndio ngome ya SIZONJE
   
 3. G

  Gulwa JF-Expert Member

  #62
  Apr 21, 2017
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 2,966
  Likes Received: 2,186
  Trophy Points: 280
  wasukuma watuangusha sana kuanzia boss mkuu, cdf, ag, naibu wa tiss nk
   
 4. t

  treborx JF-Expert Member

  #63
  Apr 21, 2017
  Joined: Jul 11, 2015
  Messages: 4,402
  Likes Received: 1,988
  Trophy Points: 280
  Kwani ulishawahi kufanya kazi na Aristotle ili kujua kama alikuwa ni mtu mwenye akili nyingi? au ulifanya kazi Hitler ili kujua alikuwa katili na dikiteta??. Simple common sense makes the difference....
   
 5. M

  Msororo69 JF-Expert Member

  #64
  Apr 21, 2017
  Joined: Feb 27, 2016
  Messages: 2,055
  Likes Received: 597
  Trophy Points: 280
  Utaweza kumtofautisha kwa hoja za kisiasa. Lakini kwa hoja za kisheria huwezi ona tofauti yake. Weka hii akilini. Na maswali ya kujiuliza Je hoja inahusu sheria? Je anaishauri serikali na Bunge?
   
 6. gwa myetu

  gwa myetu JF-Expert Member

  #65
  Apr 21, 2017
  Joined: Aug 18, 2014
  Messages: 4,333
  Likes Received: 4,331
  Trophy Points: 280

  Hebu tusaidie hivyo vitu vizuri alivyofanya,maana utasaidia kutuondolea dhana potofu maana mimi namuona kilaza zaidi ya Bashite
   
 7. t

  treborx JF-Expert Member

  #66
  Apr 21, 2017
  Joined: Jul 11, 2015
  Messages: 4,402
  Likes Received: 1,988
  Trophy Points: 280
  Acheni kuingiza ukabila wa watu kwenye kila kitu. Udhaifu wa watu unaingiaje kwenye makabila yao????? kabila ni kitu kimoja tu kwenye diversity za hao watu uliowataja. otherwise, everyone's world view is shaped by different/many other things......kwa nini usiseme "usomi" wao unatuangusha, au "uanamme" wao ndio unaosababisha wawe vivyo, n.k??
   
 8. M

  MANTONGA JF-Expert Member

  #67
  Apr 21, 2017
  Joined: Jul 29, 2015
  Messages: 526
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 60
  AG ambaye ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali huwa kazi yake ni kuisimamia Serikali iliyopo Madarakani na Kuishauri Masuala yote ya Kisheria na Kuyasimamia.Na hivyo basi kwa nafasi yake Kikatiba huingia ktk Bunge letu tukufu.Tuelewe hivyo na michango yake Bungeni ni ya Kisheria zaidi.
   
 9. msnajo

  msnajo JF-Expert Member

  #68
  Apr 21, 2017
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 2,589
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Ni sahihi kabisa, wala hujakosea. Mshukuru Mungu kwa kuiona hilo. Umebarikiwa, maana ukiona mwenzako anakengeuka na ukakaa kimya, hapo ndo makosa. Pale hakuna mwanasheria, ni "koti" linaingia bungeni na kutoka.
   
 10. k

  kwiwite Senior Member

  #69
  Apr 21, 2017
  Joined: Mar 19, 2017
  Messages: 120
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  Itabidi tuchunguze kama tulivyofanya kwa bashite!
   
 11. Muyobhyo

  Muyobhyo JF-Expert Member

  #70
  Apr 21, 2017
  Joined: Oct 9, 2014
  Messages: 7,158
  Likes Received: 5,080
  Trophy Points: 280
  hivi huyu lusinde bado yupo sijamsikia siku nyingi
   
 12. boaz mwalwayo

  boaz mwalwayo JF-Expert Member

  #71
  Apr 21, 2017
  Joined: Jan 27, 2015
  Messages: 4,424
  Likes Received: 2,937
  Trophy Points: 280
  Hili neno Jaji Augustino Ramadhani
   
 13. boaz mwalwayo

  boaz mwalwayo JF-Expert Member

  #72
  Apr 21, 2017
  Joined: Jan 27, 2015
  Messages: 4,424
  Likes Received: 2,937
  Trophy Points: 280
  Mwanasheria hana uwezo wakunipa Ushauri wa kisheria hata Bule by Tundu Lissu
   
 14. T

  Turnkey JF-Expert Member

  #73
  Apr 21, 2017
  Joined: Jul 9, 2013
  Messages: 2,309
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Jamaa amepooza sana sio kama yule aliyemtangulia ..alimuita Kafulila ngedere na akataka kumchapa ndani ya Bunge.....
   
 15. malisoka

  malisoka JF-Expert Member

  #74
  Apr 21, 2017
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 1,244
  Likes Received: 1,413
  Trophy Points: 280
  Makamanda wa Polisi na Jeshi mbona wengi tu wana kadi za CCM.
   
 16. M

  Meela JF-Expert Member

  #75
  Apr 21, 2017
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,001
  Likes Received: 494
  Trophy Points: 180
  Siku Masaju akijiunga CHADEMA atakuwa jembe na atakuwa ni mwanasheria nguli. Tumeshuhudia fisadi mkuu alipohamia CHADEMA kutoka CCM akiitwa mkombozi na mwanamageuzi wa kuiondoa hii nchi kutoka kwenye utawala wa mafisadi. Pia malaya fulani naye alipohamia chama hicho hicho kutoka chama kile kile aliitwa mwanamke shupavu. Bahati CHADEMA dio ambao mwanzo waliibua ufisadi na umalaya wa wale waliokuja kuingia kwao baadaye. Narudia Masaju akihamia CHADEMA ataitwa jembe.
   
 17. B

  Benny Haraba JF-Expert Member

  #76
  Apr 21, 2017
  Joined: Dec 7, 2012
  Messages: 3,151
  Likes Received: 1,514
  Trophy Points: 280
  Kutukana watu haita kusaidia mishani jenga hoja yako
   
 18. mbudunge

  mbudunge JF-Expert Member

  #77
  Apr 21, 2017
  Joined: Jul 7, 2015
  Messages: 1,179
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 280
  Swali zuri sana hili
   
 19. natoka hapa

  natoka hapa JF-Expert Member

  #78
  Apr 21, 2017
  Joined: Feb 28, 2014
  Messages: 6,240
  Likes Received: 7,674
  Trophy Points: 280
  Ahamie chadema ahamie ccm ahamie ACT ahamie kokote mimi sina chama wala huo upuuzi wenu wa chadema na ccm haunihusu wala sikohapa kutetea ccm wala chadema, vyama vyenu peleka huko nyie ndo mnahangaika na njaa zenu mnashindwa kufikiria nchi mnafikiria vyama vyenu.

  Nendeni mkaungane na akina mbowe sijui ccm nendeni zenu nyinyi ndo mnafanana akili.
   
 20. Mr.Junior

  Mr.Junior JF-Expert Member

  #79
  Apr 21, 2017
  Joined: Sep 8, 2013
  Messages: 8,469
  Likes Received: 4,112
  Trophy Points: 280
  Hivi unategemea mtu atapata hivyo vyeo vya juu kama sio kada?

   
 21. G

  Gulwa JF-Expert Member

  #80
  Apr 21, 2017
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 2,966
  Likes Received: 2,186
  Trophy Points: 280
  niongeze na DPP, hapo mpaka uwe gt ndipo utanielewa
   
Loading...