huyu mwanamke wa shoka!

huyu mwanamke wa shoka!

Zamaulid

Platinum Member
Joined
May 25, 2009
Posts
20,338
Reaction score
16,795
1932308_658178394227746_1400261035_n.jpg
 
Shida huleta ufumbuzi maana hata akuacha hana wa kumfanyia sasa yabidi afanye mwenyewe. Ndiyo ile tunayosema mtu akifika mjini anajifanya hajawahi ishi kijijini hata.
 
Shida mwanakharam mume yeyey katulia huko na mchepuko wake duh hatareeeeeee!
 
Shida huleta ufumbuzi maana hata akuacha hana wa kumfanyia sasa yabidi afanye mwenyewe. Ndiyo ile tunayosema mtu akifika mjini anajifanya hajawahi ishi kijijini hata.
hivi akitaka kushika break hapo inakuwaje,kama vile ule mkono ulioshika pipa ndo ulitakiwa uwe kwenye break!
 
hivi akitaka kushika break hapo inakuwaje,kama vile ule mkono ulioshika pipa ndo ulitakiwa uwe kwenye break!

Hapo ni kutupa pipa tu.
Hivi mkuu huli pipa la maji au la ulanzi? au achemshiaga makongoro maana jeusi! teh teh teh teh.
 
I dont want to be mean, huyu mama kweli ni jasiri lakini kashindwaje kutafuta hata vimiti viwili akavilaza kwenye carrier na kulifunga hilo pipa hapo nyuma!
 
hivi akitaka kushika break hapo inakuwaje,kama vile ule mkono ulioshika pipa ndo ulitakiwa uwe kwenye break!

Mkuu si unaona ngoma haina kinga matope (muddy guard) kwa hiyo break ni kuweka mguu kwenye tairi tu. Nimecheka sana!
 
Back
Top Bottom