The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 21,295
- 49,347
mkuu vipi na wewe unaweza kuendesha isiyo na break!
Si ndio maana nikasema aina ya break anayoitumia? sie tulikua tunaendesha bila break lakini sio kwa hizi kandambili za mchina.
Japo kuna wataalamu walikua wanaenda pekupeku, I really miss those days (maeneo ya mlima sekenke).